Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

hasara haimaiishi hio project ni failure, inamaanisha inahitaji innovative ideas nyingi zaidi, huezi downplay umuhimu wa ndege kwenye nchi hata chadema wenyewe mlipigia kelele sana hili bungeni sasa nan alaumiwe? badala ideas zitawale mnaanza majungu
Point of correction. Mimi siyo CHADEMA, mimi ni Mtanzania.
 
Ila mwenda zake alifanikiwa sana kutupiga fix...

Akatumia ujanja wa kuvizima vyombo vya habari ili tusimstukie...

Akawapa kiburi mataga ili wambimbie nyimbo za utukufu...

Akanogewa akatamani akawaongoze malaika mbinguni...

Yani mwenda zake alikuwa anatamani kuwapiga fix mpaka malaika....

Gadeimmm
 
Kwa hiyo tusishabikie sana haya mambo ya wanasiasa wanaokua na keki mdomoni, kwa sababu wanakua wanajitahidi kuongea uongo ili keki isiwatoke, halafu kina mimi na wewe tunaunga tela kwenye jambo lao.

tatizo lenu mnajipa kazi isio na malipo, Mgufuli kusema uongo hilo tayar tatizo na kosa! kinachotakiwa sio kuanza kushambulia but whats the next step after here, hizi ndege zenyewe waliopiga kelele si ni hao hao wapinzani? mbna nchi ina ndege moja.. sasa zmenunuliwa loss imekuja kelele badala ya whats next after here
 
cheza chini nmekwambia huna chochote cha maaana umecomment toka nimeanza soma post zako hii thread, pitia wengine ambao wanaoppose lakini wanatoa advantage ya uwepo uelewe
Kwa hiyo ATCl wapo kufanya service not business? kwa ufupi 2 serikali iachane na hii biashara iachie private sector wao watengeneze miundombinu wezeshi 2,hapa tutaepuka hasara kibao zisizokuwa n msingi,mfn ktk kipnd hiki cha corona private sector ndo zingeingia hasara kwa kiasi kikubwa
 
Ila mwenda zake alifanikiwa sana kutupiga fix...

Akatumia ujanja wa kuvizima vyombo vya habari ili tusimstukie...

Akawapa kiburi mataga ili wambimbie nyimbo za utukufu...

Akanogewa akatamani akawaongoze malaika mbinguni...

Yani mwenda zake alikuwa anatamani kuwapiga fix mpaka malaika....

Gadeimmm

he had his problems and failures but he was still a great man! especially kwenye kujituma! mnyonge apewe haki yake pia
 
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.

CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.

Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.

Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hapo kwenye ATCL, Mama Samia kaangushiwa jumba bovu. Hana budi kuchukua hatua za haraka kutafuta mbia/wabia toka sekta binafsi nchini na hata nje kuliendesha shirika hilo. Na huo ni mtihani mkubwa sana hasa nyakati hizi za janga la covid-19. Kupata mbia makini ni kazi ngumu sana sasa hivi. Aidha, usimamizi wa hali ya juu unahitajika katika mchakato mzima hadi utendaji wake.

Akichelewa ni mwendo wa kuendelea kumimina mabilioni kuhakikisha ndege zinaendelea "kuremba" viwanja na anga la Tanzania kuwafurahisha wanaofikiri ndege ni toys za kujivunia kwa majirani! Na serikali ndio ina zigo hilo la ndege kama mmiliki. ATCL wao wanasubiri tu kukabidhiwa hela ya kula (operating funds) waendelee "kuzitembeza" popote. Sijui Watanzania wangapi wanajua kwamba ukiirusha Dreamliner toka Dar es Salaam hadi Mwanza (459 nautical miles) kwa nauli za ushindani ni hasara hata ikiwa imejaa kabisa. Hata zisiporuka, pesa ya uhakika lazima itoke.

Rwandair iliwatoa jasho hadi ikabidi wawakabidhi Qatar Airways 49% ya hisa na jukumu la uendeshaji. Hiyo ilikuwa kabla ya corona. Kabla ya hapo walijaribu kulibinafsisha shirika lakini hakuna aliyekuwa akitoa bei inayoeleweka. Hii sio biashara inayochangamkiwa duniani na sasa corona ndio imeharibu kabisa. Kuna mashirika kadhaa yaliyokuwa yakienda vizuri kama Air Mauritius, sasa hivi linaelekea kufilisika.

I wish Her all the best. She'll certainly solve the problem, I believe.
 
tatizo lenu mnajipa kazi isio na malipo, Mgufuli kusema uongo hilo tayar tatizo na kosa! kinachotakiwa sio kuanza kushambulia but whats the next step after here, hizi ndege zenyewe waliopiga kelele si ni hao hao wapinzani? mbna nchi ina ndege moja.. sasa zmenunuliwa loss imekuja kelele badala ya whats next after here
Kwa hiyo alinunua ndege kuwafurahisha wapinzani?
 
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.

CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.

Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.

Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hivi Tanzania hata ikiwa bajeti zote zinazopitishwa na Bunge mnadanganywa, nani atahakiki?

Wabunge wenyewe hata kusoma namba za kwenye bajeti tu wanashindwa!

Watanzania wajinga kama huyu wanajaribu kila njia to justify ujinga kwa kuongeza ujinga wao hawajui ujinga wa wawili unafanya unabaki ujinga tu na ni mjinga tu anaiga ujinga eti kwa kuwa Kenya ina ndege zinapata hasara ni sawa madege ya Magufuli yakipata hasara. Mashirika yote ya ndege duniani Kipindi hiki cha mwaka mmoja yamepata hasara kwa sababu ya hili gonjwa ambalo limeleta hasara kubwa zaidi ya vifo vya mamilioni ya watu ambao wangesafiri na ndege hizo. Kabla ya gonjwa mashirika mengi yalikuwa yanapata faida au hasara ndogo lakini licha ya Nchi yetu kutokuwa na Covid-19, ATCL haijawahi kupata faida miaka 5 yote ya umri wake wakati hayo Mashirika tajwa yakiogelea kwenye faida. Kwa Shirika lolote la Ndege kupata faida, lazima ndege zake zote ziwe hewani wakati wote zikiwa zimesheheni abiria walipa nauli siyo vigogo wa Serikali na Makada wa Chama wanaosafiri bure.
 
Kwa hiyo ATCl wapo kufanya service not business? kwa ufupi 2 serikali iachane na hii biashara iachie private sector wao watengeneze miundombinu wezeshi 2,hapa tutaepuka hasara kibao zisizokuwa n msingi,mfn ktk kipnd hiki cha corona private sector ndo zingeingia hasara kwa kiasi kikubwa

alafu mashirika yote binfasi yakishaingia hasara hela za kuendesha wanatoa wap? wao sio serikali kwamba wanatoa huduma hawaangalii faida serikali inaweza kubypass profit na bado shirika likaendelea, kwa saaahv ukitoa precision ambayo inapumuliwa mashine, hakuna shirika lingine, precision sidhan kama itakuepo kwa mda mrefu kwa biashara kwa sababu parent company yake kenya airways nayo ni imekufa!

- kwenye situation kma hii mkono wa serikali unahitajika sana, msile story zenu za raia maskini maana sio kla anaishi tanzania ni maskini na sio watanzania peke yao wanapanda
 
Watanzania wajinga kama huyu wanajaribu kila njia to justify ujinga kwa kuongeza ujinga wao hawajui ujinga wa wawili unafanya unabaki ujinga tu na ni mjinga tu anaiga ujinga eti kwa kuwa Kenya ina ndege zinapata hasara ni sawa madege ya Magufuli yakipata hasara. Mashirika yote ya ndege duniani Kipindi hiki cha mwaka mmoja yamepata hasara kwa sababu ya hili gonjwa ambalo limeleta hasara kubwa zaidi ya vifo vya mamilioni ya watu ambao wangesafiri na ndege hizo. Kabla ya gonjwa mashirika mengi yalikuwa yanapata faida au hasara ndogo lakini licha ya Nchi yetu kutokuwa na Covid-19, ATCL haijawahi kupata faida miaka 5 yote ya umri wake wakati hayo Mashirika tajwa yakiogelea kwenye faida.

duuu!
 
alafu mashirika yote binfasi yakishaingia hasara hela za kuendesha wanatoa wap? wao sio serikali kwamba wanatoa huduma hawaangalii faida serikali inaweza kubypass profit na bado shirika likaendelea, kwa saaahv ukitoa precision ambayo inapumuliwa mashine, hakuna shirika lingine, precision sidhan kama itakuepo kwa mda mrefu kwa biashara kwa sababu parent company yake kenya airways nayo ni imekufa!

- kwenye situation kma hii mkono wa serikali unahitajika sana, msile story zenu za raia maskini maana sio kla anaishi tanzania ni maskini na sio watanzania peke yao wanapanda
Unajifanya unajua kumbe hujui kuna jamaa juu kakupuuza na mie ngoja nikupuuze 2,uwe na ck njema naona buku 7 unaitendea kazi
 
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.

CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.

Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.

Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
1617029381736.png
1617029381736.png
 
Back
Top Bottom