Lete rahaMabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba
He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz
Ntuzu mambo niaje mzeiya!
Sijakuelewa swali lako vzr my Valley labda uliweke vzr kidogo ili niweze kujibu kadri ya uwezo wanguOkay,leo nina maswali machache afu mepesi nisikuchoshe sana usijechelewa job ukamagufulika bure....
Hebu kwa haraka haraka naomba tuanze na swali la
1. Kwa mtazamo wako wewe unaona ni wakati gani muafaka wa kutumia uongo ktk Mapenzi???
Kusema ule ukweli uongo ktk mahusiano sio mzuri kabisa Ila kuna vile viuongo vinavyoelekea kua kweli vile vingi tu. Lkn ilikua nyakati zile hasa kwa mtu ambaye hufikirii kua na future nayeOK labda nikuulize hivi,bila shaka ulishawahi kumdanganya mpenzi wako kwanamna yoyote ile,si ndio eeh
Yes sasa unakuja ninapotaka ukujeKusema ule ukweli uongo ktk mahusiano sio mzuri kabisa Ila kuna vile viuongo vinavyoelekea kua kweli vile vingi tu. Lkn ilikua nyakati zile hasa kwa mtu ambaye hufikirii kua na future naye
Mapenzi ya kweli yaliyojengwa ktk misingi imara kabisa hayana uongo. Kwasababu Upendo wa kweli hutupa nje masumbufu yote ya ajabuYes sasa unakuja ninapotaka ukuje
Unadhani mapenzi ya kweli hayana uongo kabisa?
Na nikirudi kwenye swali la awali ni wakati gani muafaka wa kutumia uongo ktk Mapenzi?
Ila we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?Mapenzi ya kweli yaliyojengwa ktk misingi imara kabisa hayana uongo. Kwasababu Upendo wa kweli hutupa nje masumbufu yote ya ajabu
Anaye danganya hana mapenzi ya dhati.sio vizuri kudanganya,waovu huficha uovu kwa kutumia uwongo.Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba
He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz
Ntuzu mambo niaje mzeiya!
Valley mambo ni safi kabisa lete habari naona leo unataka mastori ya mchagoni
Ila we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?
Ole wako unidanganye nakupa kelebu matatra
Mapenzi ya kweli yaliyojengwa ktk misingi imara kabisa hayana uongo. Kwasababu Upendo wa kweli hutupa nje masumbufu yote ya ajabu
Aise msukuma nitakuitia wamang'ati wakuchangie.... Ohoo!