Yaah mkuu... ni kweli! So mtu anaweza akawa anaumwa tumbo akanywa Panadol akaamini atapona na akapona..!! Wewe hapo unaelezeaje mechanism ya panadol kutibu tumbo la kuharaa???Usifikir wew rikoboy hata uwe na imani kubwa vip huwez tenda miujiza peke yako.
Lazima uchague unaiman kwa Mungu au kwa shetani
vyenyewe vimeandikwa kabisa usinywe zaidi ya moja sema kwa maneno madogo madogo. Halafu energy drink ni ka dawa za kulevya zina additction kwakuwa nalala mechelewa nikipga kazi kila usku lazima nipige mojaKumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.
Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.
Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
Yaah mkuu... ni kweli! So mtu anaweza akawa anaumwa tumbo akanywa Panadol akaamini atapona na akapona..!! Wewe hapo unaelezeaje mechanism ya panadol kutibu tumbo la kuharaa???
Mkuu sawa... me nimesoma famasi..!! Ndo maana sometimes Hosp unaweza pewa placeblo tu then ukapona lakini huambiwii.. Wewe utajipa imani kuwa hii dawa nikinywa nitapona and it works kabisa...Mimi nimesoma udactali
Hiyo kitu hakuna kabisa.
Kumbuka tu kuwa sio kila ugonjwa kupona hadi dawa, kuna matatizo mengine huwa yanajifix tu yenyewe mwilini.
Mfano kuumwa kinywa,
Kinaweza kupoa chenyewe tuu.
Au ukaadd na kunywa maji meng kikapoa but maji ni tiba pia
elimu haitasaidia chochote tatizo maisha yamekuwa mafupi mno unaweza usinywe energy lakini ukafa hata kwa kugongwa na guta
Mkuu sawa... me nimesoma famasi..!! Ndo maana sometimes Hosp unaweza pewa placeblo tu then ukapona lakini huambiwii.. Wewe utajipa imani kuwa hii dawa nikinywa nitapona and it works kabisa...
Eehe so hapo ndo inakuja point sio kila ugonjwa placeblo inatreat mkuu... Mtu ana celebral malaria unampa placeblo noo thank u... Hata imani ina limit yake! Simple like that... Ila mtu anasema ana upungufu wa nguvu za kiune hawezi kufanya mpaka anywe sildenafil..siku akija ukimpa kidonge kinachofanana na sildenafil lakini ndani hakuna active chemicals unakuta still anaperform vizuri kabisa bed...Hiyo dawa unayoisema haitibu magonjwa yenye vimelea yani wadudu (bacteria)
Inasaidia katika magonjwa ambayo mala nyingi visababishi ni vichochez fulani mwilini.
So na hiyo dawa inaenda kufanya ochochez fulan mwilini.
Ndo maana inasaidia mtu anapata nafuu.
Lakini mtu akija ukampa placeblo na huku yeye ana vimelea vya malaria
Asee hapo mkuu utasababisha mtu afe kwa malaria. Hta kama ailikua na iman kuwa atapona.
Eehe so hapo ndo inakuja point sio kila ugonjwa placeblo inatreat mkuu... Mtu ana celebrla malaria unampa placeblo noo thank u... Hata imani ina limit yake! Simple like that...
Eti azam energy inachanganywa na k-vant... Jamani jamani hayo matumbo yenu hamjihurumiiDah wanangu kitaa wanachanganya Na pombe Kali sijui hii ipoje
Maji ni sumu,haya haya safi,maji yakiwa mengi mwilini huleta water intoxication ambayo husababisha seli nyekundu za damu kupasuka(hemolysis),