elimu haitasaidia chochote tatizo maisha yamekuwa mafupi mno unaweza usinywe energy lakini ukafa hata kwa kugongwa na gutaNachoshauri mm watu wapewe elimu ili wafanye informed decision making
kwani huna mdomo wa kuinywa au hauna vitendea kazi vya kwenye sita kwa sitaMkuu kuna siku nlisikia kijiweni wanasema ukinywa iyo kitu unakuwa freshi sana kunako sita kwa sita. Sikupata mtu wa kuuliza tena je ni kweli?
Mkuu nmeuliza kuhitaji kujua nlichosikiaga ili kufahamu kwa sababu lipo hapa jukwaani, Swala la kunywa hili lipo ndani ya sheria zangu kwamba huwa situmii kitu chochote zaida ya fresh juice na pure water pekee. Hizo taarabu zingine achia watu wa pwani, mbona hutendei vyema jina lakokwani huna mdomo wa kuinywa au hauna vitendea kazi vya kwenye sita kwa sita
umenishangaza kuuliza kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wako nikaona nikujibu jinsi nilivyokujibu kwani nimeona kama huitendei haki id yakoMkuu nmeuliza kuhitaji kujua nlichosikiaga ili kufahamu kwa sababu lipo hapa jukwaani, Swala la kunywa hili lipo ndani ya sheria zangu kwamba huwa situmii kitu chochote zaida ya fresh juice na pure water pekee. Hizo taarabu zingine achia watu wa pwani, mbona hutendei vyema jina lako
Hapana mkuu nmeuliza sababu sijui, Na niliwahi kulisikia si mda mrefu ila leo ilipoona huu udhi nkaona niulizeumenishangaza kuuliza kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wako nikaona nikujibu jinsi nilivyokujibu kwani nimeona kama huitendei haki id yako
Wewe unaejua Saidia kutoa elimu mungu atakulipaNachoshauri mm watu wapewe elimu ili wafanye informed decision making