Kila ninapojaribu kufikiria nakosa jibu la kwanini akinamama,dada wamekua wakinyonyesha watoto wao hadharani kwa kudiriki kutoa maziwa yao(matiti)waziwazi akati hiyo ni sehemu ya kiungo cha siri,je nini hiki,utamadu au?maana mtu mweupe(mzungu)hawezi kwa maana nimechunguza hilo,swali langu ni je kitendo hicho ni maadili?

Lakini Ukwaju, kiukweli si ustaarabu kunyonyesha hadhani bila kufica nyonyo, suala la makaptula maofisini ilikuwa ni kipindi hicho na si sasa, binafsi sipendi kuona mwanamke mwenzangu akinyonyesha hadharani, wakati mwingine utakuta mtu ananyonyesha mbele ya baba yake au mkwe wake nyoyo zote nje, khhaaaaaaaaAine usimpe kichwa @Nyamwihura Fredrick wazungu wanatumia maziwa ya makopo na ni baada ya likizo ya siku 90, sasa sisi Mama zetu ni wakulima wa Mashambani huwezi walazimisha eti wajifunike gubigubi.
Ni juzi tu miaka ya 70' baba zetu waliokuwa madaktari na maPOLISI walikuwa wakivaa kaptula maofisini leo mnaona aibu lakini kwenye Mpira kuvaa bukta ruksa
Kila ninapojaribu kufikiria nakosa jibu la kwanini akinamama,dada wamekua wakinyonyesha watoto wao hadharani kwa kudiriki kutoa maziwa yao(matiti)waziwazi akati hiyo ni sehemu ya kiungo cha siri,je nini hiki,utamadu au?maana mtu mweupe(mzungu)hawezi kwa maana nimechunguza hilo,swali langu ni je kitendo hicho ni maadili?
Kumnyonyesha mtoto titi ni mahali popote na wakati wowote, mtoto ana haki miliki na titi la mama yake, full stop.
View attachment 92945
Huyo dogo bana....kazipeleka fikra zangu kusiko kabisa.:A S tongue: