Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

mimi naona si maadili, mbona kabla mwanamke hajaolewa/kuzaa huwezi kuona titi lake? ni tabia za uswahilini tu na mazoea ambayo hayana budi kuachwa, wanawake tubadilike
 
Mmnesahau kuwa zamani wasomi walinyonyesha kwa kuficha, kwa sasa wanapenda kuonyesha kama ishara kuwa angaza imejibu kuwa yupo safi. Usisahau uzi wa yule aliyeonyesha cheti cha angaza katika simu.
 
Laiti watoto wanaonyonya wangekuwa na ufahamu na wawepo humu jamvini mtoa mada angeonja joto la jiwe kwa kujaribu kutoa mawazo ya kuharibu utaratibu wao halali wa maakuli.
 
Kila ninapojaribu kufikiria nakosa jibu la kwanini akinamama,dada wamekua wakinyonyesha watoto wao hadharani kwa kudiriki kutoa maziwa yao(matiti)waziwazi akati hiyo ni sehemu ya kiungo cha siri,je nini hiki,utamadu au?maana mtu mweupe(mzungu)hawezi kwa maana nimechunguza hilo,swali langu ni je kitendo hicho ni maadili?

Umeshawahi kuishi na wazungu wewe?mimi juzi kati nilimuona mama wa kizungu hospitali selian ananyonyesha mwanae hadharani!sifa nyingine tunawapa wazungu kwa vile hatujawahi kuishi nao karibu!
 
Kwa hiyo mtoto akitaka nyonyo hadharani asipewe kwa vile nikiungo cha siri

wacha watoto wapate chakula yao kwa muda na kipindi chote wanachotakiwa ni kipindi cha mpito

Baada ya hapo mambo yatarudi kuwa normal
 
Kila ninapojaribu kufikiria nakosa jibu la kwanini akinamama,dada wamekua wakinyonyesha watoto wao hadharani kwa kudiriki kutoa maziwa yao(matiti)waziwazi akati hiyo ni sehemu ya kiungo cha siri,je nini hiki,utamadu au?maana mtu mweupe(mzungu)hawezi kwa maana nimechunguza hilo,swali langu ni je kitendo hicho ni maadili?

Nadhani ni mazoea na pia wengine hawajui kama wanaweza kunyonyesha bila nyonyo kuonekama. Mama akivaa blauzi anweza kunyonyesha bila nyonyo kuonekana maana ataweza kutolea nyonyo kwa chini, ila akivaa gauni haitawezekana.

Ila nadhani bado hujazaa wewe, ukizaa hutaona ajabu.
 
Aine usimpe kichwa Nyamwihura Fredrick wazungu wanatumia maziwa ya makopo na ni baada ya likizo ya siku 90, sasa sisi Mama zetu ni wakulima wa Mashambani huwezi walazimisha eti wajifunike gubigubi.
Ni juzi tu miaka ya 70' baba zetu waliokuwa madaktari na maPOLISI walikuwa wakivaa kaptula maofisini leo mnaona aibu lakini kwenye Mpira kuvaa bukta ruksa
 
Last edited by a moderator:
Aine usimpe kichwa @Nyamwihura Fredrick wazungu wanatumia maziwa ya makopo na ni baada ya likizo ya siku 90, sasa sisi Mama zetu ni wakulima wa Mashambani huwezi walazimisha eti wajifunike gubigubi.
Ni juzi tu miaka ya 70' baba zetu waliokuwa madaktari na maPOLISI walikuwa wakivaa kaptula maofisini leo mnaona aibu lakini kwenye Mpira kuvaa bukta ruksa
Lakini Ukwaju, kiukweli si ustaarabu kunyonyesha hadhani bila kufica nyonyo, suala la makaptula maofisini ilikuwa ni kipindi hicho na si sasa, binafsi sipendi kuona mwanamke mwenzangu akinyonyesha hadharani, wakati mwingine utakuta mtu ananyonyesha mbele ya baba yake au mkwe wake nyoyo zote nje, khhaaaaaaaa
 
Waacheni Mama zetu,Hatujui maumivu wanayopata wanaposhindwa kunyonyesha kwa kuogopa macho ya watu
+
 
Hiyo ni dharula na mtoto lazima anyonye huku anapulizwa na upepo si unajua tena mtoto anapokuwa ananyonya mpaka jasho sasa ukifunika ni sawa na kumnyima hewa plus hiyo nguo unayomfunika inaweza ikawa ina vumbi ikaathiri upumuaji, chuchu ya mwanamke hata kama iwe haichoka au ina mwonekano mzuri namna gani inapofanya role yake ya kunyonyesha wengi huipa heshima yake kama sehemu ya kutolea chakula, anayewaza hivyo huyo ana matatizo na ndio wale wale akiwa na mrembo akishikwashikwa chini kidogo ana maliza kabla ya shughuli. MAZIWA YA MAMA NI MUHIMU UKIONA AIBU MTOTO WAKO ANAKUWA AFYA MBOVU UNASHANGAA ANAANZA SHULE ANAKUWA MZITO KUELEWA DARASANI ALAFU UNASINGIZIA AMEFUATA AKILI ZA MJOMBA WAKE KUMBE MAZIWA KAMA MSOSI HAJAPATA. Hii ni sawa na kina mama wasiopenda kukojolewa na watoto wao unakuta siku nzima amemfunga pampers mtoto anateseka kwa umaridadi wa muda mfupi wakati mtoto anateseka kumbe hata mtoto mdogo anapokuwa anakojoa inakupa nafasi ya wewe kuweza kuwa unamfundisha taratibu taratibu
 
Kunyonya mtoto ni lazima,,lakin hatutaki kuonya nyonyo ya mama kaianika nje,,kuna nguo za kuvaawakati unanyoshesha,,bwana sio unavaa kagauni,,et time ya kababy kupata menu,unatoa nyonyo yako yotee,kwa juu unampa baby,,tena mbele hata ya baba mkwe au shemeji zako,,aaaaahaaa wewe,,sio kiivyo,,but my point MTOTO KUNYONYA NI LAZIMA PALE ANAPOHISI ANANJAA,,AU ANAJISIKIA TU KUSUCK KWA CHAKULA YAKE
 
Kumnyonyesha mtoto titi ni mahali popote na wakati wowote, mtoto ana haki miliki na titi la mama yake, full stop.

o-TIME-MAGAZINE-570.jpg
 
Njaa ya mtoto ni kama ulivyo usingizi kwake popote pale akihisi kulala tu atalala, na mama ndiye anayetakiwa kuhakikisha ukuaji wa mwanae unasonga mbele kwa hiyo popote pale ana jukumu la kumnyonyesha mwanaye sharti tu pawe hamna madhara ya kiafya kwa baby wake.
 
Kila ninapojaribu kufikiria nakosa jibu la kwanini akinamama,dada wamekua wakinyonyesha watoto wao hadharani kwa kudiriki kutoa maziwa yao(matiti)waziwazi akati hiyo ni sehemu ya kiungo cha siri,je nini hiki,utamadu au?maana mtu mweupe(mzungu)hawezi kwa maana nimechunguza hilo,swali langu ni je kitendo hicho ni maadili?

Kiafrika matiti hayana utupu sana, kuna ngoma wanacheza Waswazi matiti nje, we unasema kunyonyesha mtoto?

Mpaka miaka ya sitini ukipita na basi Kibaha unaona kinadada wanakwenda matiti nje.

Tamaduni na maadili ya copy paste ndo mtoto akose maziwa kwa kujinafasi?

Hao wazungu wenyewe kila mwaka cleavage line inashuka.
 
Matiti ya mwanamke au mwanaume sio sehemu za siri. Sehemu za siri za mwili wa binadamu zinaitwa "tupu" kwa lugha ya staha na wanyama wengine kama vile mbuzi, punda, nyoka, kuku, mbwa, n.k. hawana tupu wala hawana sehemu za siri, wana mb©©, k*ma na mkund* vipo sehemu ya wazi tu...!!
 
..mie huwa nasikia wanawake wakimtizama mnyonyeshaji akinyonyesha huwa wanapata na hisia fulani..takuwa analenga kuwarusha roho wenzie
 
Back
Top Bottom