Unyoaji Nywele za kichwa

Werewere

Member
Mar 23, 2019
19
10
Wakuu nawasalimu. Msaada jaman, kuna hz staili za kunyoa vijana wa cku hzi utakuta mtu kanyoa fresh lakini anatengeneza kitu kama mstar either hapa mbele ya utosi ama pemben kwa mbele. Je hii inaashiria chochote au ni urembo tu?
 
hiyo inaamaanisha ni bonde la ufa(rift valley),wanajeolojia wanashauri ukae mbali na mtu kama huyu kwani kwenye rift valley kuna specie wa hatari kama simba,chui,swala, wote wapo huko,kwa hiyo watu wenye rift valley ni nyara za serikali usiseme ukuambiwa
 
Ni maamuzi tu..
Kama mtu anavyonyoa pembeni akapunguza sana nywele juu akaacha nyingi..

Au mtu anaponyoa kipara...
Ni uamzi wa mtu binafsi ndio maana kwenye katiba hakuna style ya taifa ya kunyoa
 
Back
Top Bottom