linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Asante mkuu BAK na kwako pia mwaka 2017 uwe wa heri na baraka. Na wana JF wote Mungu awabari.Umenifurahisha sana Mkuu. Nimeupenda huu mchango wako. Heri ya mwaka Mpya Mkuu.
Asante mkuu BAK na kwako pia mwaka 2017 uwe wa heri na baraka. Na wana JF wote Mungu awabari.Umenifurahisha sana Mkuu. Nimeupenda huu mchango wako. Heri ya mwaka Mpya Mkuu.
Sijawahi kukutana nao kimahusiano, ila nishashuhudia wanawake wakinyanyasika na wanang'ang'ania hapo hapo as if wamezaliwa nao....hiyo ni kesi nyingine na ninachokiona humu wanawake nadhan sijui mmenisoma juu juu au laah sijasema mwanamke uteseke...uburuzwe wewe upo tu, usiwe na kauli ndani hapana!!! Ndiyo maana nikasema mwanaume asieona unyenyekevu wa mkewe huyo ni tatizo!!! jua nafasi yako itekeleze, jua wajibu wa mke kwenye ndoa....Nahisi wewe hujawahi kukutana na mwanaume kisirani wasioona hata jema moja kwa wake zao.
Anyway..hapo kwenye red,hivi wanawake peke yao ndio wenye jukumu la kulinda ndoa?