Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,534
Aaaaiseeeee jamn.... Nimpate wap mwanamke kama uyu
Niko hapa
Aaaaiseeeee jamn.... Nimpate wap mwanamke kama uyu
Naona likes wanatoa wanaume peke yake
Kwamba wanawake hawajaona hii mada? Au ndo imewagusa na hamtaki kuikubali maana saivi mpo kwenye mchakato wa haki sawa?
Mwanamke akae kwenye nafasi yake na mwanaume kwenye nafasi yake
Unakuta mwanamke anataka kujifanya kichwa cha familia kudadeki ingekua unatak usawa siungepeleka mahari kwetu namimi nipeleke kwenu kwani wazazi wangu hawakunizaa kama wewe ulivyozaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake msipingane na nature mtazeekea kwenu trust me
Big up.Sio kwamba tunashindwa kutoa like ila kinachoshindikana ni kwamba wanaume walio wengi wanashindwa kutimiza majukumu yao kama wanaume, hebu timiza majukumu yako uone kama sijanyenyekea mpaka ushangae
hebu nione kama malkia, sio saa zote kunifokeafokea ntanyenyekea saa ngapi ?
tatizo ni lenu wanaume.
Wanaume wengi neno "Samahani"halipo katika vocabulary zao.Ni vyema kuwa mnyenyekevu but don't overdo it, mtu kila anapokosa ama kununa we ndo umuombe msamaha ht kosa ni Lake...jithamini pia,mwanaume sio perfect pia,he has to know pia anakosea vitu vingine na anapaswa kusema sorry kwako,otherwise u will die of vinyongo moyoni mana u wl b js a doormat to walk on...
Unajishushaje mfano mtu kakucheat?repeatedly?ye ndo kakukosea uaminifu he shld be sorry
Cha msingi present ur case in a decent manner...
Naomba kuyafahamu hayo majukumu......Sio kwamba tunashindwa kutoa like ila kinachoshindikana ni kwamba wanaume walio wengi wanashindwa kutimiza majukumu yao kama wanaume, hebu timiza majukumu yako uone kama sijanyenyekea mpaka ushangae
hebu nione kama malkia, sio saa zote kunifokeafokea ntanyenyekea saa ngapi ?
tatizo ni lenu wanaume.
Haki sawa ni muhimu...tatizo watu hawaelewi ni katika nini. Kusema haki sawa hakumaanishi mwanamke ampande kichwani mmewe, kwa kuwa hata mwanaume hatakiwi kumfanyia ubabe wa kijinga mkewe. Katika mengi haki sawa ni mwanamke apewe nafasi ya kuongea na kusikilizwa (mf. Kutoa ushauri) kumiliki mali na ardhi, kupata elimu na kujoendeleza, kufanya kazi au biashara ( halali) nk. So kama mtaishi kwa maelewano hakuna atakaeona anakosewa haki ktk vitu vidogo..haki sawa sio kupika, kudeki, kuosha vyombo, kukaa baa nk. Tuwafundishe binti zetu wajielewe na sio kujinyenyekeza huku unanung'unika...aaah ngachoka..Mimi ni mwanamke lkni ninapingana na baadhi ya wanawake wanaotaka haki sawa na mwanaume.najua kuna baadhi ya wanawake humu wataniponda lkni ukweli ndo huo.hata maumbile yetu yako tofauti pamoja na wanaume..haki sawa ni ndoto za mchana kweupeeeeee[emoji109][emoji114]
Mmebaki wachache sana wenye busara kama zako. Mnafaa kuwekewa ulinzi kama wa Faru J, maana mko hatarini kutoweka.Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu,hata ungekua umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika, labda awe na mapepo ndiyo unyenyekevu wako hautaugusa moyo wake.
mume agombezwi, mume afokewi, mume afanyiwi kiburi wala jeuri, akinuna na wewe unanuna mpendwa utaipoteza ndoa yako. Ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama ruba,hakuna mke anayeambiwa anajipendeza kwa mumewe ni haki yako, ni wajibu wako utimize!!
Ni adimu sanaAaaaiseeeee jamn.... Nimpate wap mwanamke kama uyu
Whatever,.. Samahani yapaswa kutoka pande zote mbili umekosewa hatoi samahani something has to be done upone rohoni... Mtu samahani adimu kwako yet unaongoza kwa maudhi SMH..Wanaume wengi neno "Samahani"halipo katika vocabulary zao.
Hivi hii haki sawa mnayoiimba mnaielewa ni katika nini?Mimi ni mwanamke lkni ninapingana na baadhi ya wanawake wanaotaka haki sawa na mwanaume.najua kuna baadhi ya wanawake humu wataniponda lkni ukweli ndo huo.hata maumbile yetu yako tofauti pamoja na wanaume..haki sawa ni ndoto za mchana kweupeeeeee[emoji109][emoji114]
Afadhali umedadavua, maana watu wamekazana na haki sawa hata bila kuelewa misingi ya hiyo hakisawa wanayoiongelea.Haki sawa ni muhimu...tatizo watu hawaelewi ni katika nini. Kusema haki sawa hakumaanishi mwanamke ampande kichwani mmewe, kwa kuwa hata mwanaume hatakiwi kumfanyia ubabe wa kijinga mkewe. Katika mengi haki sawa ni mwanamke apewe nafasi ya kuongea na kusikilizwa (mf. Kutoa ushauri) kumiliki mali na ardhi, kupata elimu na kujoendeleza, kufanya kazi au biashara ( halali) nk. So kama mtaishi kwa maelewano hakuna atakaeona anakosewa haki ktk vitu vidogo..haki sawa sio kupika, kudeki, kuosha vyombo, kukaa baa nk. Tuwafundishe binti zetu wajielewe na sio kujinyenyekeza huku unanung'unika...aaah ngachoka..
Haki sawa ni muhimu...tatizo watu hawaelewi ni katika nini. Kusema haki sawa hakumaanishi mwanamke ampande kichwani mmewe, kwa kuwa hata mwanaume hatakiwi kumfanyia ubabe wa kijinga mkewe. Katika mengi haki sawa ni mwanamke apewe nafasi ya kuongea na kusikilizwa (mf. Kutoa ushauri) kumiliki mali na ardhi, kupata elimu na kujoendeleza, kufanya kazi au biashara ( halali) nk. So kama mtaishi kwa maelewano hakuna atakaeona anakosewa haki ktk vitu vidogo..haki sawa sio kupika, kudeki, kuosha vyombo, kukaa baa nk. Tuwafundishe binti zetu wajielewe na sio kujinyenyekeza huku unanung'unika...aaah ngachoka..
Na hapo ndipo tatizo linapokuja, suala la unyenyekevu lapaswa kuwa la pande zote, sio kiburi na kujiona ndio unadeserve kunyenyekewa tu.Wanaume wengi neno "Samahani"halipo katika vocabulary zao.
Afadhali umedadavua, maana watu wamekazana na haki sawa hata bila kuelewa misingi ya hiyo hakisawa wanayoiongelea.
Ndio hapo unisaidie kushangaa!!Halafu hawa wanaume hawa hawa ambao wako radhi kuwanyanyasa wake zao hivi, hawako tayari kuona mabinti zao wananyanyaswa kama wao wanavyowanyanyasa mama zao. Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa. Iweje wewe uone ni sawa kumnyanyasa mkeo kwa kila namna na vipigo asivyostahili juu lakini hutaki binti yako atendewe kama unamvyomtendea mkeo! Mkuki kwa nguruwe.....
Nahisi wewe hujawahi kukutana na mwanaume kisirani wasioona hata jema moja kwa wake zao.mume agombezwi, mume afokewi, mume afanyiwi kiburi wala jeuri, akinuna na wewe unanuna mpendwa utaipoteza ndoa yako
Umesahau mama kuolewa ni kamsaada kwa mwanamke, hivyo ni jukumu lake kuhakikisha anabaki humo!Nahisi wewe hujawahi kukutana na mwanaume kisirani wasioona hata jema moja kwa wake zao.
Anyway..hapo kwenye red,hivi wanawake peke yao ndio wenye jukumu la kulinda ndoa?