Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,548
- 2,025
Umetema madini sana, mwenye kuelewa atanufaika nayo. Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wa siku hizi ni pasua vvichwa; viburi, majigambo na ubabe pasipo kutumia akili ndo vimewajaa at the end wanajikuta wameachika, kiburi cha kujifanya wana uwezo wa kulea watoto kinaendelea. Baadae anaona kulea hao watoto ni mzigo hauwezi pale anapohitaji na kujaribu kuolewa kwingine tena...yaani ni ukorofi ukorofi tu mwisho wa siku aibu tupu.