Unyanyasaji wa vibarua

Brown ad

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
345
204
Habari wana jf!
Kiukweli nasikitishwa na unyanyasaji unaoendelea katika haya makampuni ya wageni kiukweli inasikitisha.
Yaani vibarua wanalipwa kwa siku tsh 3100-4000 kwa siku na bado serikali yate haiangalii ili swala!
Watanzania wenzetu wanateseka sana kwa huu upunjo wa malipo uanofanywa na hawa wawekezaji.
Nawasilisha!
 
Lakini hukuyataja makampuni yenyewe au una maana makampuni ya kigeni yote yaliyopo hapa nchini?
 
Habari wana jf!
Kiukweli nasikitishwa na unyanyasaji unaoendelea katika haya makampuni ya wageni kiukweli inasikitisha.
Yaani vibarua wanalipwa kwa siku tsh 3100-4000 kwa siku na bado serikali yate haiangalii ili swala!
Watanzania wenzetu wanateseka sana kwa huu upunjo wa malipo uanofanywa na hawa wawekezaji.
Nawasilisha!

Ni kweli ni pesa kidogo sana, nadhani pia itakuwa busara sana kama malipo hayo yangelinganiswa na mapato wanayozalisha na hao watumishi, ndipo tungethibitisha kuwa pana unyanyasaji au unyonyaji, kwani yapo hata makampuni ya nje bado yanafanya kazi kwa hasara, na hata hicho kidogo bado wadau wakalidhia sio haba, wapo watu wakiiacha hiyo kazi wasiweze kuzalisha/kupata hata nusu yake. jamanai watanzania tubadilike jibu ni moja tu KUFANYA KAZI YENYE TIJA sio siasa na malalamishi tu ndio maana ya soko huria, na kama kazi haikulipi hakuna anayekulazimisha acha tafuta kuingine na kama inakufaa fanya kazi kwa kujituma/kuijali sio malalamishi, Mashirika ya mama/umma tuliyauwa sisi wenyewe.......
 
Back
Top Bottom