Hatuna tatizo dhidi ya dhana juu ya ugaidi tunachozungumzia ni weledi wa wana jf. Haya matukio yakitokea hata hapa tz ikawa aliefanya ni muislam au maeneo ya wsislam wengi haya mambo ndio hutokea na watu bila kufikiri nje ya box wanaanza kuushambulia uislam ilo liko wazi.