MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
Mzee six former speaker katoa chozi
<br />Ni kweli huyu mbunge amenitoa machozi. Wakati nikimsikiliza, machozi yalinilenga, alipoelezea ule unyama wa mama anayeyonyesha kuuliwa kwa risasi, mtoto alipolia njaa, wakampeleka kumlaza kwenye mwili wa mama yake, mtoto bila kufahamu mama kauliwa, akawa unagangaika na mwili wa mamaye kusaka maziwa huku analia, polisi wauawaji wakiangalia kama horor film!. Machozi yalinitirika!.
Iwapo hilo lingetoka kwa mbunge wa Magamba, bi Kiroboto lazima angeunda kamati ya uchunguzi mara moja.Msitake kunambia Spika hakuomba iundwe kamati haraka ya kuchunguza janga hilo?
Mkuu Pasco hii kweli inatisha, huyo Bwn Six alikuwa wapi??????????? Kazi ya maghambas ni kuu tuu kila kona ya Tanzania ehee Mungu Okoa taifa la Tanzania!!!!!!!!!!!!Ni kweli huyu mbunge amenitoa machozi. Wakati nikimsikiliza, machozi yalinilenga, alipoelezea ule unyama wa mama anayeyonyesha kuuliwa kwa risasi, mtoto alipolia njaa, wakampeleka kumlaza kwenye mwili wa mama yake, mtoto bila kufahamu mama kauliwa, akawa unagangaika na mwili wa mamaye kusaka maziwa huku analia, polisi wauawaji wakiangalia kama horor film!. Machozi yalinitirika!.
<br />Its not FAIR
Ooooh No!Ni kweli huyu mbunge amenitoa machozi. Wakati nikimsikiliza, machozi yalinilenga, alipoelezea ule unyama wa mama anayeyonyesha kuuliwa kwa risasi, mtoto alipolia njaa, wakampeleka kumlaza kwenye mwili wa mama yake, mtoto bila kufahamu mama kauliwa, akawa unagangaika na mwili wa mamaye kusaka maziwa huku analia, polisi wauawaji wakiangalia kama horor film!. Machozi yalinitirika!.