Unyama wa serikali Urambo waanikwa bungeni na Sakaya-CUF

huyu mbunge leo amenitoa machozi kweli sakaya wa cuf ni mfuatiliaji, komaa mwanamke wa shoka tupo nyuma yako mama.

Mwanzo nilifikiri ni kwa Sitta ila nimeambiwa kuwa ni kwa Kapuya.

Watu wa Kaliua walimkataa ila jamaa akachakachua uchaguzi na kushinda.

Jitu lenyewe limekaa ovyooo......................

Kapuya4.jpg

Mbunge wa viti maalum CUF-Urambo, Magdalena Sakaya ameeleza jinsi polisi,askari wa wanyamapoli na maliasili walivyochoma nyumba za wakazi wa Urambo, walivyopiga risasi na kuuwa wananchi 23 wa Urambo mwaka 2010 mwezi 9.

Wakazi walichomewa nyumba zao kwenye kijiji cha Pandamlohoka, askari walichukua mtoto wakamweka juu ya kaburi la mama yake.

"Mheshimiwa spika unyama kama huu unafanyika serikali iko wapi..?"

Kwa aliyekuwa akimsikiliza Sakaya lazima machozi yalikuwa yakimlengalenga. Hii ndo serikali ya chinjachinja na chama chinjachinja. Mhe Sakaya alikuwa akichangia bajeti ya wizara ya maliasili.

Kwa wakazi wa urambo hili jambo si jipya mh kirungi aliyekua mgombea ubunge wa cuf huko urambo magharibi alikuwa akiliongelea sana jambo hili. Nadhani hadi lipumba naye alishafanya press conference juu ya hili. Lakini kwa mshangao mkubwa hakuna follow up yoyote ilifanywa ma mamlaka husika. Jamani hata kama tuchukulie hili jambo ni uzushi kwanini halikuchunguzwa toka kipindi kile linaibuliwa kwa mara ya kwanza?

Wao wakuu wetu watakuja na kauli za "Nchi hii ni ya amani na utulivu, hao wanao uawa ni viherehere vyao!" Ilihali wananchi wanaendelea kuteswa na kushuhudia unyama uliokithiri na amani na utulivu vikiwa havipo

Sakaya chama chake kinamuangusha mf angalia jinsi alivyo fungwa lakini chama kikawa kimya kama hawamfahamu vile

ndugu yangu uko mbali na media na hujui ulisemalo.Komandoo wa CUF naibu katibu mkuu mh.Julius Mtatiro,baadhi ya wabunge wa CUF na mwanasheria wa CUF mh.Twaha taslima walitia kambi ya wiki moja Urambo kupambana kupata dhamana akina Sakaya na viongozi wenzake tisa wa CUF.Hatimaye walifanikiwa baada ya serikali ya CCM na kupitia mahakama yake ya urambo kuwanyima dhamana eti wangeanzisha uvunjifu wa amani.

Mkuu Pasco hii kweli inatisha, huyo Bwn Six alikuwa wapi??????????? Kazi ya maghambas ni kuu tuu kila kona ya Tanzania ehee Mungu Okoa taifa la Tanzania!!!!!!!!!!!!
Yalikotokea mauaji sio jimboni kwa Sita (Urambo Mashariki), bali ni jimboni kwa Kapuya (Urambo Magharibi). Hivyo Kapuya ndiye anapaswa kuulizwa alikokuwa, au hatua ambazo keshazichukua kusaidia watu wake.

Masikini Urambo.
Hivi ni ile urambo ninayoijua mimi ambako Babu yangu mzaa mama alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana huko.

Poleni sana.

Mwanzo nilifikiri ni kwa Sitta ila nimeambiwa kuwa ni kwa Kapuya.

Watu wa Kaliua walimkataa ila jamaa akachakachua uchaguzi na kushinda.

Jitu lenyewe limekaa ovyooo......................

Hiyo picha vipi tena?Ndo lilikuwa linamfanya nini mtoto wa watu?Shame on mapuya!Halafu c ndo hili lipo kwenye UDA?Mijitu mingine bwana....!

Mwanzo nilifikiri ni kwa Sitta ila nimeambiwa kuwa ni kwa Kapuya.

Watu wa Kaliua walimkataa ila jamaa akachakachua uchaguzi na kushinda.

Jitu lenyewe limekaa ovyooo......................

Kapuya4.jpg

mbunge wao anakula bata tu hana kipya huyu

Kwa kweli kwa yaliyokwisha na yanayoendelea kutokea katika Taifa letu ni ishara wazi kuwa hatuna Viongozi wanaowajibika hata kidogo. Je, tutaendelea kuyavumilia haya mpaka lini? 2015 iko mbali sana kwa kweli na naona kuna haja ya wananchi kuanza kujipanga kuikomboa nchi yao. JK inabidi a-step dowm before wananchi kuchukua maamuzi mazito dhidi ya serikali yako ya kinyama, enough is enough. Tumeshuhudia unyama wa serikali ya JK; Loliondo, Arusha mjini, Tarime na sasa Tabora. Haya ni baadhi tu ya yale yanayoripotiwa, tunajua yapo mengi yasiyoripotiwa. Sasa ni juu yetu wanaharakati kuchukua hatua.

Sakaya chama chake kinamuangusha mf angalia jinsi alivyo fungwa lakini chama kikawa kimya kama hawamfahamu vile
we bwe.ge unaongea nini? unajua nani alimshughulikia mpaka katolewa ndani? hujasikia akini Lipumba wakipiga kelele?
Ama kweli we bweg.e. Mada iliyoletwa ingine tena yenye kutia simanzi wewe unaleta uharo wako hapa. Pumba.fu.

Back to topic, This is so sad wakuu. kweli kama tumefikia hapa basi mwisho wao waja. Tunatofauti gani na wanyama sasa. Tunalengwa na bunduki kama dig dig. So sad kwa kweli.

Ni kweli huyu mbunge amenitoa machozi. Wakati nikimsikiliza, machozi yalinilenga, alipoelezea ule unyama wa mama anayeyonyesha kuuliwa kwa risasi, mtoto alipolia njaa, wakampeleka kumlaza kwenye mwili wa mama yake, mtoto bila kufahamu mama kauliwa, akawa unagangaika na mwili wa mamaye kusaka maziwa huku analia, polisi wauawaji wakiangalia kama horor film!. Machozi yalinitirika!.

oh jamani as a mother nimeumia sana. hivi hawa watu hawana watoto? hawana Utu? how jamani mtu anaweza kuacha mtoto helpless kung'ang'ana kwenye mwili wa maiti. sitaki kufikiria jambo hili naumia mno.

Pole sana watu wa Urambo, hatuna uongozi, tumefikia watu wanapigwa risasi na serikali imekaa kimya tu.
Kapuya, yupo kimya na bendi yake Akudo Impact anakatika viuno tu, hovyoooo!

Usimtendee mwenzako jambo ambalo hautapenda kutendewa.

Hata kama hawa watu wa urambo walifanya makosa makubwa kiasi gani sioni haja ya kuwafyatulia risasi mpaka akinamama wenye watoto. Polisi anayeweza kufanya unyama wa aina hii anashindwaje kumuweka chini ya ulinzi mama mwenye mtoto bila kumfyatulia risasi?

Nchi hii inahitaji sala Ee Mwenyezi Mungu tunusuru kutoka katika mikono ya hawa wanyanyasaji, wauaji, waroho, wasiomwogopa Mungu, wabinafsi mpaka kwenye kucha zao za miguu.

Mzee six former speaker katoa chozi
Hayo ni machozi ya mamba. Wakati huo yeye alikuwa spika, yaani kiongozi wa mhimiili mmojawapo wa dola; alikuwa na uwezo wa kuunda tume ya bunge kuchunguza suala hilo, lakini kwa sababu anazojua aliamua kukaa kimya; sasa analia nini?
Nashauri wanaJF twende kijijini hapo tujiridhishe na hayo yaliyosemwa. Kwa kuwa ni muda mfupi umepita, wananchi watakuwa wana kumbukumbu.

Mbunge wao si samwel sitta

au huwa anwatumia tu wakati wa uchaguzi?

Back
Top Bottom