Damu hii itakuja kulipa tu.....wkt umefika na hausubiriki tena....serikali ya ccm imeamua kuua watz kwa kutumia polisi....mpaka leo bado sijajua kazi ya polisi ni nini hasa km sio kuwatumikia mafisadi........
Ccm.......ccm......ccm........ccm......ccm. Na jeuri yenbu ya mahakama na polisi na jeshi hamuiwezi nguvu ya wananchi wameaamua
Ccm.......ccm......ccm........ccm......ccm. Na jeuri yenbu ya mahakama na polisi na jeshi hamuiwezi nguvu ya wananchi wameaamua