Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,812
- 218,470
jiulize na kujijibu mwenyeweKwa hiyo hapo kina nani ndo wanahusika? CCM?
amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lakeKabla sijaanza kutoa laana zangu kwa Serikali ni vyema ungeongezea nyama taarifa yako ili tuweze kupata mwanga ni nini haswa kilichotokea.
Pole sana kwa Diwaniamevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake
Kwa hiyo hapo kina nani ndo wanahusika? CCM?
Hoja yako ina hoja. Tangu 2016 nchi yetu haina tofauti kubwa na Rwanda na Burundi. Siyo kwamba wananchi tumebadilisha Makabila, ila uongozi tulioweka umeingiza mila za kwao.Magufuli ametuharibia nchi yetu, tujifunze kutofanya tena kosa la kumchagua mtu mwenye uraia tata kutuongoza
amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake
Afadhali Mkuu na wewe umeliona hilo!Huwezi fanya hiyo conclusion kwa information hizo hapo juu. Lakini kwa vyovyote vile hayo ni mambo ya kukemea
watanzania mnakoelekea siyo kuzuri kwa kuzani kuwa viongozi wa chadema ni malaika hawana makosa katika jamii huyu kapigwa panga lakini kabla hata ya uchunguzi unakuja na uzi kuwa ccm ndiyo wamempiga je unauhakika gani? je kama alikuwa na visasi na watu wengine utajuaje acheni ujinga mnaotaka kuujaza kwa watu yatawarudia nyienyie je alikuwa kwenye kutano wa siasa? unajuaje kama humo kwenye mgahawa kama kazurumu mtu akawa anamfuatilia?acheni kabisaamevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake