Poleni kwa majukumu ndugu zangu wote. Napaswa kusoma nyaraka muhimu iliyo katika mfumo wa PDF, kwa kutumia simu aina ya Nokia E72.
katika kufanya hivyo, nimekumbana na changamoto hii "Unsupported security handler: standard" kila ninapojaribu kufungua faili husika.
Naomba msaada wenu juu ya nini nifanye ili niweze kung'amua changamoto hiyo.
Ahsante kwa ushiriki wako.