UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

unajitoa kwa mtu, unampenda/mjali/mridhisha, unafanya lolote liwezekanalo juu yake, matokeo yake ni stress tupu....cjui bwana.

Na Mwisho siku wewe unakufa, yeye anandeleza libeneke
 
Ni binadamu huyu au agent wa shetani?
 
Men!!!!!!!!!!!!!!, you see why i say its not wise to kill yourself coz of a man. yeye anaendelea kula raha, yeye kajiwahisha asikokujua.
 
good start bra!
mshiki will be so happy!!
 
Ni kweli kabisa ulivyoandika ni vizuri mtu kupenda na kutulia na mwenza wako ila pati b ya maelezo yako sio kweli this is so unscientific kuna hata watoto wa miaka 5 siku hizi wana tatizo la sukari kutokana na mfumo wa maisha kubadilika na mambo ya kurithi etc.

Vipi unakumbuka ile thread yako ya ''NYUMBA NDOGO THEY ARE HERE TO STAY ''????? ....... leo imekuwaje??? mambo ya kudumisha MILA vipi hapo??? leo umeacha???
 
i hope unatambua matumizi sahihi ya question marks...!

talking of milaaz and all that!well....AMINI UNAVYO AMINI!

kuhusu kisukari...!well,kuna so many scientific explanations ambazo hatuhitaji kuweka hapa,ndo maana nikasema 70%,ndo maana nikazungumzia pressha..!so far AMINI VYOVYOTE
 
lazima ni lucifer product
Preta
Hawa wanaume..............
Lakini tunawapenda bado. Mie nishawachoka na moyo wangu umejaa kutu pande zote juu ya hawa viumbe..... ila tunawapenda kaka zetu ni tabia zenu tu zinazotukwaza. Utafikiri si binadamu jamani?
 
aisee Pearl, bac bwana !me ctaki.
 
kabla ya ndoa ni ngumu sana kujua mambo kiundani, ishu nyingi zinaanziaga baada ya ndoa!

Heri yake Geoff amechunguza miaka 10 kabla ya kusema" Grace will you meri me"
Nahisi hutakuwa na haya matatizo.
 
i hope unatambua matumizi sahihi ya question marks...!

talking of milaaz and all that!well....AMINI UNAVYO AMINI!
????? .........hahahahhaah Geoff bana mi staki kucheka kwenye hii sredi- nitafute kwenye sredi nyingine unichekeshe tafadhali
 
we need a talk then!
lakini utakubali kwamba MEN ARE THE SOURCES OF UNSERIOUSNESSES!hwbu muulize partner wako background yake kabla hamjawa wapenzi....!am telling you YOU WILL BE SHOCKED!....LAZIMA KUNA JITU LIMEMPOTEZEA MUDA
hahaha, YOU NEVER KNOW.
anyway am taking a break.
later.
 
Binamu wengi sana ambao tuko killed softly, hii sredi imenikumbusha mbali, eyes full of tears.
 
Preta
Hawa wanaume..............
Lakini tunawapenda bado. Mie nishawachoka na moyo wangu umejaa kutu pande zote juu ya hawa viumbe..... ila tunawapenda kaka zetu ni tabia zenu tu zinazotukwaza. Utafikiri si binadamu jamani?

na tunakoelekea uvumilivu utatushinda tulio wengi itabidi tutumie maarifa mengine
 
????? .........hahahahhaah Geoff bana mi staki kucheka kwenye hii sredi- nitafute kwenye sredi nyingine unichekeshe tafadhali
HAHAHAHA!
that's life!.....CHEERS
 
And the days are number to 13th Feb 2010. We pray to God that you will practice what you are preaching here Geoff. All the best!
 
Binamu wengi sana ambao tuko killed softly, hii sredi imenikumbusha mbali, eyes full of tears.
Pole Lily but usilie kwa uchungu bali jisifie kuwa you went through it (whatever it is) positively- hukuchukua uamuzi wa kunywa sumu.

Wengi tumetendwa na wengine repeatedly
 
Heri yake Geoff amechunguza miaka 10 kabla ya kusema" Grace will you meri me"
Nahisi hutakuwa na haya matatizo.

whaaaaatttt?Charity! wanavyogeukaga huwezi jielewa/elewa tatizo ni nini na limeanzia wapi na kwanini limeanza....hata wangekaa miaka 20...charity....charity...charity......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…