UNONA NINI??

UNONA NINI??

Hakuna shida na taabu ambayo mwanaume anaweza kuipata kama kuwa na shemeji mwenye miguu mizuri kama wewe,siji ng'oo kwa sababu siyo kwa miguu hiyo,unataka nizimie??[emoji4]
Hivi bado unaamini hiyo miguu ni yangu?Ingekuwa yangu nadhani Tanzania wangekuwa wameishanijua mie mwenyewe naitamani yani miguu milainiiii....[emoji6]
 
Hivi bado unaamini hiyo miguu ni yangu?Ingekuwa yangu nadhani Tanzania wangekuwa wameishanijua mie mwenyewe naitamani yani miguu milainiiii....[emoji6]
Ok,kama ni hivyo sasa amani itatawala na nitakuja![emoji4]
 
Naona jnc gan wana jf wasivyo na hiyana wanachat beyond the limit hakuna hasira wala vta.. big up great thinkers
 
Back
Top Bottom