Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

Diamond asaiv ni kama wakina Mr nice na matonya zama zake zimepita
 
Leta list yako itayoikosoa hiyo mkuu sio maneno tu
 
Namuelewa diamond kama ninavyielewa Team ya simba

ila kwa wimbo wa baba lao vs Uno

aseee ntachagua UNO

huo wa diamond sijui kaimba au kaongea kusema la ukweli.
 
Hatufuatilii maisha ya mtu sisi tunasikiliza mziki mzuri..
 
Leta list yako itayoikosoa hiyo mkuu sio maneno tu
usipate tabu mkuu list za blog uchwara zinatofautiana wewe ingia Forbes ambacho ni chanzo cha kuaminika search mmoja mmoja hapo tena ongezea na Diamond platinumz,Youssou N dour,Lira na wengine utakaowaona halafu tengeneza list ya top ten mwenyewe usipende kucopy na kupaste
 
Kucopy ni dhambi, kama wasanii wamekubalianam
kwanza wengi wanaochangia si ma Artist ndo maana wanasema hayo lakini kwenye sanaa hakuna kitu original duniani labda kimejiumba hata mungu alituumba kwa mfano wake
“Where do you get your ideas?”

The honest artist answers,
“I steal them.”

How does an artist look at the world?
First, you figure out what’s worth stealing, then you move on to the next thing.
That’s about all there is to it.”


Excerpt From: Steal Like an Artist.
 
Wimbo huu wa diamond hata ma underground hawawezi kuutoa,
Kwanza ni wa majungu.
Pili ni una majigambo na taarabu
Tatu beat mbovu.
Nne hauna chemistry nzuri
Tano kaungaunga madudu yasiyoeleweka.

Hata kama jamaa namkubali ila huu wimbo ni HOVYO SANA.

#BALAAZITOOOOOOOO
 
Sijachukia Sir mchambuzi!
Nimesikiliza hizo ngoma zinazolinganishwa melody nakucheka sana mdomo kila mmoja ana wake uko wazi wacha waseme mwishoni wata bang nayo club sanaa
Nikweli ila Leo asubuhi s2kizzy kasema hii ngoma nicopy chibu aliipenda na kuongea na mwenye nyimbo so wakakubaliana .. kilichofanywa nikubadilisha tu maneno tu.. kifupi unaweza kuitaa cover .. tuu
 
Ubunifu ? Ww umebuni nn kipya ebu usiwachoshe watoto wa watu, sio lazima kusikiliza ww watanzania tu 50+ milion of people.
 
Mwana FA na AY hawajalipwa sababu Tigo walienda kata rufaa
 
Mwana FA na AY hawajalipwa sababu Tigo walienda kata rufaa
Unaishi wapi mzee mbona ishu ipo wazi hii tigo walikata rufaa lakini Mwana Fa na Ay walishinda tena rufaa wakiwa na wakili wao Albert Msando hivyo wakalipwa 1.2 Billioni
 
Broo siamini Kama wanatuchezea akili kwenye maslahi haipo hivyo amini kwamba mafahari wawili hawakai zizi moja.
yani diamond na konde wanatuchezea akiri sana wanatengeneza image ya kuwa wao bro habari ya mjinga kiba kapotezwa huu mchezo wenye akiri tushauelewa kitamboo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…