Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Umeumia sana! Maneno mengi hayavunji mfupa. Wewe ndio unaejijua vyema. Utatamba kuuzidi hata ukoo wangu wote pesa, ila haisaidii. Kama una pesa kweli hungekuwa na maumivu kuja kujimwaga hapa kwa JF kuyatuliza walau kidogo baada ya kuachwa[emoji12].Nitafute hela mara ngapi mkuu ?! Nimeshatafuta hela, na nimeshaoa miakaa kadhaa iliyopita and my article doesnt sound lile "nalalamika"
Ila loveness78 unaposema nitafute hela naingiwa na shauku right ungepata kunijua kialisia ili unilinganishe na baba yako plus mume wako oooh huna mume, pole ok plus madanga yako yote, ujumlishe vijisenti vyao wote combined against me alone, afu tuone je bado ungeniambia "nitafute hela" ?! Yani unadhani wote hapa jf ni kama viboyfrend vyenu visivyo hata na nauli ya kuwapa baada ya kuwala uroda ?!.
Asante, nami pia.Nakuhamu ujue jamani
Ngumu kumeza hiyooNi kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.
Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"
Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.
Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!
Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.
Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Ni kweli mkuu, wengi wanatia huruma yaani wamepoteza matumaini, wanaamua kuwa single mothers. Na ukishakuwa single mother matatizo yanakuwa compounded. Muda ni mwalimu mbaya sana. Kiburi na ujanja wote mfukoni.Hakika na hua wanajifunza somo muda ukiwa umewapa kisogo.
..........Lakini mkuu hukosi kitu ukimsoma katikati ya mistari!Aisee toka juzi upo na thread zako za hizi .
Umeumia sana! Maneno mengi hayavunji mfupa. Wewe ndio unaejijua vyema. Utatamba kuuzidi hata ukoo wangu wote pesa, ila haisaidii. Kama una pesa kweli hungekuwa na maumivu kuja kujimwaga hapa kwa JF kuyatuliza walau kidogo baada ya kuachwa[emoji12].
Ni vyema ukatafuta pesa mkuu, hautaambiwa tena hayo mambo ya Mr Right, kweli nakuambia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ivi unaweza kuomba mume mwema, ukapata mume wa mtu???? Au litakua jaribu?? Au ndo kupokea tulichoomba???Usilie wew ulie achwaaa
Mume wa walio single yuko juu anaona.
Mume wa walio achika kwenye ndoa yupo juu anaona, atajibu kwa wakati wake.
Ni uwongo tu..........Lakini mkuu hukosi kitu ukimsoma katikati ya mistari!
Uwongo???
Nimemuelewa sana mtoa post. Kitu cha muhimu kwenye ndoa ni mtu kuchukuana na mtu wanao fanana tabia na focus za maisha, na sio kuwahi kuolewa.Sijaelewa point yako hapa hasa ninini ila ninaekuona ukiteseka ni wewe,so kwa akili zako kinachomfanya mwanaume aachwe ni kuwa maskini tu hakuna kingine?kwako wewe maisha ni pesa mapenzi ni pesa siyo!
Sijui umri wako but ushauri wangu rudi post #1 soma tena mstari kwa mstari neno kwa neno utamshukuru mleta mada baadae.
jinsi ya me, ndiyo cause ya matatizo kivipi??Ila kwan mbona wanaume pia mna matatizo tena chungu nzima ? Why usifundishe jinsia yenu ambayo ndo cause ya matatizo yote haya
Kwani mkuu na wewe bado haujaolewa?Kwa nini sasa anatusimanga wadada kila kukicha
Aiseeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza masimango
Wa kuwaua