Msaada Please:Jinsi ya Kujiunga na Zantel Unlimited offer

Joined
Jan 31, 2012
Posts
55
Reaction score
6
Naomben maelekezo wana jf jinsi ya kujiunga na zantel offer ya unlimited bundle in which they charge you ten thousand for three days...nina modem ya airtel ambayo nimeiflash kutumia line zote includin zantel line but everytym i try to subscribe to that offer nashindwa coz wananirudishia message that i shud write my CDMA number...
 
nadhani hiyo offer inahusu wanaotunia modem za CDMA zile ambazo hautii line, hiyo ulionayo wewe ni GSM so huwezi ipata hiyo offer.
 
if that's the case i do have the ttcl modem which i think its cdma will it work for that offer???
 
Kupata hii offer unahitaji modem ya zantel (ambazo huwa hazitumii line) kama ilivyo kwa TTCL (kupata offer zao banjuka n.k.) unahitaji modem ya ttcl ambayo pia haiitaji line

Hizi modem tayari zina namba zake kwa zantel baadhi zinaanzia 0775................, sasa wewe unapoweka line yako yenye namba 0777.... obviously hii ni namba tofauti na ukiweka ttcl huwezi kutumia kama zantel sababu nayo ina namba zake tofauti

Hakuna cha kufanya zaidi ya kwenda nunua modem ya zantel, (ambazo nadhani kwa sasa ni kwenye 20,000/=)
 
okey thank you so much guys for the feedback
 
Back
Top Bottom