Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
Habari ma-GT wote wa jukwaa hili pendwa?
Hope mko safi, ipo hivi: kuna simu nimeletewa from US aina ya Samsung Prevail ya virgin. Sasa katika kutaka kuweka line nikaona haina sehemu ya line. nimegoogle nikaona kumbe hii simu ni CDMA (haibebi line kama modem za Zantel) na sio GSM kama tuliyozoea.
Hii simu imetumika US, sasa swali langu ni kuwa hii simu inaweza tumika kibongo bongo let say nikaiflash then nikaenda kama airtel kwaajili ya kuisajili na kuipa namba au ndio imekuwa kopo?
Tafadhali naomba michango yenu wadau