Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

thanks mkuu ngoma imekubali maana nimeangaika sana ,endeleeni kutupa maujanja
 
msaada wenu jaman modem yangu n airtel zte mf 190 nikiunlock inanambia error connectin to the server user name niandikej
 
nimejaribu, hatua za mwanzo zote inapita successfully, nikifika hatua ya mwisho (4) naambiwa "no username" nkifungua kwenye sehemu ya "server" naingiza username na password, nikikomand "unlocking" inaniambia "connection error" nifanyeje? tafadhali nisaidieni.
 
Nipe maujanja na mimi

wadau na mimi nina moedem hizi mpya za zantel ambazo hazina sehemu ya kuchomeka chip, badala yake kuna namba ya simu tu imeandikwa kwenye modem, nikitaka kuchakachua nafanyaje ? msaada tafadhali
 
ndugu yangu kama haina chip, ukishachakachua utafanyaje? kwa sababu unachakachua "unlock" inayobeba chip ili uweze kutumia chip yoyote (mtandao wowote). we endelea kukandamizia hiyo hiyo.
 
kuna zingine wametoa siku izi za airtel hata hazina jina
 
Acheni ubhili mtchakachuliwa nunua modem nyingi moj tsh 20 elf zipo kampn chache
 
kuna modem zimezna na x then namba wametoa sas ivi hazina hata jina nahisi watoa ili tushindwe kizichakachua ni airtell niweiona jana mru kaja nayo kama kuna mwenye mautundu tafadhari tushirikishane,
 
Don David naomba unielekeze namna ya kutumia ZTE connection manager kama inaweza kutumika badala ya hiyo dccrap.
 
Last edited by a moderator:
Nimedownload dc unlocker kama hiyo nikakuta chini ya hizo unlocking, 'flashing' n.k kuna link ya 'Buy credit.'
so hiyo 'cracked version' ndio haihitaji credit au? Don David, nina a/c 4shared lakini hiyo link nimei-click ikaishia Loading... mpaka nikachoka.
 
Last edited by a moderator:
Nimedownload dc unlocker kama hiyo nikakuta chini ya hizo unlocking, 'flashing' n.k kuna link ya 'Buy credit.'
so hiyo 'cracked version' ndio haihitaji credit au? Don David, nina a/c 4shared lakini hiyo link nimei-click ikaishia Loading... mpaka nikachoka.
Lazima utumie cracked version ndo haihitaji credits. Unaweza tumia hii hapa
 

Attachments

mkuu dashboard setup imefutika jainyanyuki tena baada ya kumaliza kuunlock nifanyeje kurudisha setup...msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom