Unlimited Youtube streaming bundle

Unlimited Youtube streaming bundle

farujoni

Senior Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
189
Reaction score
247
Hi,

Dunia ya sasa mambo mengi yamekuwa yanabadilika kwa kasi na sasa Youtube imekuwa kama television ambapo imekuwa ina mambo mengi mno ambapo yanakuwa yanaonyeshwa kupitia channel ambazo zimefunguliwa huko.

Swali langu ni kwamba ni mtandao gani ambao naweza kupata unlimited streaming ya Youtube bila kuwa na limit ya GB au MB?

Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile GB walizokupa mtandao kasi yake unapungua.
 
Back
Top Bottom