Unlimited Internet For Youtube

farujoni

Senior Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
183
Points
250

farujoni

Senior Member
Joined Dec 19, 2016
183 250
Hi

Naomba kujua ni mtandao uoi wa simu una unlimited internet for youtube kwa njiarahisi mtandao upi unatoa unlimited bundle za youtube!!??

Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile GB walizokupa mtandao kasi yake inapungua.
download.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,381,008
Members 525,934
Posts 33,785,862
Top