Poa by next week will send the money bro...
Okyyyy
Poa by next week will send the money bro...
Mtaa gani kesho nikucheki
Ukishindwa yote (ya kina BOL aka Smart ya kuchagua modem mara ifanye mara isifanye) na kama kwako TTCL ipo vizuri basi jiunge na Banjuka TTCL kuanzia saa 3 usiku mpaka asubuhi ni tshs 650 kwa lisaa unlimited na kama una download manager basi kila ukiwa na hamu ya movie fulani unazishusha (thats what I do myself)
Mkuu hao TTCL wana line za kawaida ..? kama zipo nitazipataje???
ni wazo tu. si bora ununue bundle ya wajanja night ya vodacom, 1gb kwa tsh500. ikisha unaongeza, so kama una 10,000 manake unapata 20gb. ni ushauri tu, sio kama nnaharibu biashara!
Hizo laini za 8gb si ndiyo zile zinazouzwa na modem halafu wajanja wanazibadilisha wanauza na laini za kawaida. Huo mchezo hata wafanyakazi wa voda wanao
Kaka hujakosea ila ndio tukifanya ivi ndio tunapata faida. Tunauza mordem also tubauza line kwa kujitegemea ili tupate faida. Kaka kuna ubaya hapo?
mwenyezi Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Pamoja kaka