Unlimited internet

Unlimited internet

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari wadau. Naulizia huduma ya unlimited internet ambayo kuna mdau aliinadi mwaka jana humu jukwaani kama bado ipo kwani napenda sana muvi ila ghalama za kudownload ndio kubwa kwa mitandao yetu yote. Au kama kuna mdau anaye gharama nafuu za internet naomba anifahamishe pia.
 
Ukishindwa yote (ya kina BOL aka Smart ya kuchagua modem mara ifanye mara isifanye) na kama kwako TTCL ipo vizuri basi jiunge na Banjuka TTCL kuanzia saa 3 usiku mpaka asubuhi ni tshs 650 kwa lisaa unlimited na kama una download manager basi kila ukiwa na hamu ya movie fulani unazishusha (thats what I do myself)
 
Kaka dimei ni kwa voda ola hizi ni airtel line. Call or sms 0779420000 for more information
 
Hizo 8 GB ni za muda gani na baada ya hapo unapataje Gb baada ya hizo za mwanzo kuisha.
 
Hizo 8 GB ni za muda gani na baada ya hapo unapataje Gb baada ya hizo za mwanzo kuisha.

Kaka line hiii ina 8Gb tuuuu. Ukinaliza hapo unanunu line nyengine au ubajiunga na bando za kawaida za airtel. Ni bora tukikutana uchukue zaidi ya moja. Kwasababu hazi expai. Call 0779420000
 
Ina maana ukishamalza hyo bundle ya 8Gb inatakiwa ununue tena au inakuaje?



Kaka line hiii ina 8Gb tuuuu. Ukinaliza hapo unanunu line nyengine au ubajiunga na bando za kawaida za airtel. Ni bora tukikutana uchukue zaidi ya moja. Kwasababu hazi expai. Call 0779420000
 
Back
Top Bottom