Kwa bei au spidiVodacom ndo mwisho wa matatizo
Hakuna unlimited vipo vya youtube but still wanatoa Gb au Mb kadhaaHi
Naomba kujua ni mtandao uoi wa simu una unlimited internet for youtube kwa njiarahisi mtandao upi unatoa unlimited bundle za youtube!!??
Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile GB walizokupa mtandao kasi yake inapungua.View attachment 1268980