- Thread starter
- #41
kwa kweli nakubaliana na weweTanzania watu huwa ni wahitimu tu au unaweza sema waliofaulu mitihani
kwa kweli nakubaliana na weweTanzania watu huwa ni wahitimu tu au unaweza sema waliofaulu mitihani
Unajidanganyahaisee uko hakuna,ila mwanafunzi anaweza akaliwa na bado asipate mtelemko wowote kwenye paper
Ulichoshuhudia kipi cha ajabu unakazania nilichoshuhudia huweki maelezo wa kapicha haina mantiki post yakoAta mimi nilikuwai naamini hivyo,ila niliyoyashuhudia nairobi university nimebadlisha mtazamo wangu.
Huyo atakuwa kapostiwa picha za majengo mapya ya chuo kapagawaHapa ndo nahisi siku zote kwenye nyanja ya elimu nimebaki nyuma, hivi samahani wajuvi na wasomi mnjuze hili...tunapotafuta ubora wa chuo ni kitu gani tunakiangalia ili tujue ubora wa chuo....naomba mnisaidie
Elimu siyo majengo pekeeHuyo atakuwa kapostiwa picha za majengo mapya ya chuo kapagawa
Hakuna kujidaganya,hizo ni factUnajidanganya
Tueleze cha ajabu kipi budda maana umeishia kueleza ulichoshuhudia ss tutakuelewa vpElimu siyo majengo pekee
Hakuna cha ajabu,ni kujielewa tu kwa wakenya ndicho nilichoonaTueleze cha ajabu kipi budda maana umeishia kueleza ulichoshuhudia ss tutakuelewa vp
Mademu wanagongwa sana pale. Hujakaa ukajua maisha ya paleHakuna kujidaganya,hizo ni fact
Hilo haliepukikiMademu wanagongwa sana pale. Hujakaa ukajua maisha ya pale
Mleta mada yupo Namtumbo anaangalia Instagram ya UONUmesikia sakata la William Ruto kupewa PhD hewa graduation ijayo?
Hukuna ushahidi alisoma muda upi, alishiriki semina ya kitaaluma uipi, data collection alifanya lini lakini mwaka huu ana graduate. Hiyo ndiyo University of Nairobi au UON ukipenda.
Usipende kusifia vitu usivyojua undani wake. Na kama ungekuwa Kenya week iliyopita, lazima ungejua hayo.
NeverLevel ya UDSM East Africa ni Makerere tu hivyo vingine ni vyuo vya kata tu
Kwa kweli tutembee tuoneWatu wanapiga hatua sis blabla kibao tunadanganyana tu hapa tembeeni huko duniani....Muone
Pamoja na you tube ya UONMleta mada yupo Namtumbo anaangalia Instagram ya UON
Kwa iyo jiwe yeye alipewa Phd ya nini mbona naye ya kwake ni hewa maana alishindwa kuithibitisha akaishia kuwapoteza wale waliokuwa wakihoji uhalali wa phd yake na ile thesis yake aliyokopy ama hayo unajifanya huyajui mzeee kama sio hewa mwambie leo akaithibitishe mbele ya ummaUmesikia sakata la William Ruto kupewa PhD hewa graduation ijayo?
Hukuna ushahidi alisoma muda upi, alishiriki semina ya kitaaluma uipi, data collection alifanya lini lakini mwaka huu ana graduate. Hiyo ndiyo University of Nairobi au UON ukipenda.
Usipende kusifia vitu usivyojua undani wake. Na kama ungekuwa Kenya week iliyopita, lazima ungejua hayo.
TheoreticallyNinandugu yangu kule.. Kenya Chuo wanacho kikubali kwenye Engineering ni St Joseph tuu..
Kwa mtazamo wangu, changamoto kubwa kwa wasomi wetu vijana ni lugha ya malkia tu. Otherwise hakuna tofauti kubwa.Hakika Jumuia ya Afrika Mashariki , inaongozwa na wasomi wenye weledi wa juu kutoka " Nairobi University " Tuna la kujifunza kutoka Nairobi . Angalia hata interview nyingi katika Jumuia Wakenya wanapeta , hakuna upendeleo ila ni kiwango cha elimu .