Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana,hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.
Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.
Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.