UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,479
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
 
ni jambo ambalo linakatazwa katika sheria za hakimiliki, naomba viongozi watoe majibu haraka hapa kwasababu tz ikionewa na kenya huwa naumia sana. yaani huw aniko tayari hata kurusha ngumi.
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
jE WANGETUMIA UNIVERSITY OF RUKWA WANGEHITAJI RUHUSA PIA?
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli? vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
si hilo tu pia nchini kenya kuna. hospitali kuu ya kilimanjaro kuna pia kilimanjaro conference centre. shule ya upili ya kilimanjaro na kitengo katika GSU kinachoitwa kilimanjaro na kadhalika. pia shuleni katika somo la geographia kilimanjaro imeonyeshwa kuwa kenya
 
jE WANGETUMIA UNIVERSITY OF RUKWA WANGEHITAJI RUHUSA PIA?
yap, hizo ni haki za folklore, wanatakiwa wapate ruhusa toka kwetu, na kwa ninavyoifahamu tz hawangeruhusiwa katu. this is just one step forward, maadamu tumeshajua, tutajua tutakachokifanya. nataka kama kuna mtu anayefanya kazi wizara ya maliasili na utalii pamoja na hao wanaolinda utamaduni wa tz waje watoe majibu hapa. Actually, tunao uwezo wa kuwalazimisha kubadilisha majina hayo mara moja. Mnairobary, where is the University of Kilimanjaro located in kenya? hebu tusaidie
 
jamaa wanatuzidi kla idara, na hatuna jinsi ya kuwaulza, coz sisi waoga!
 
kazi kwelikweli. Ila haya ndiyo madharia ya nadharia potofu ya ujirani mwema tunayoindekeza kama nchi na taifa la tz.
 
Ila pamoja na yote, hawa jamaa wapo agressive sana katika kutangaza utalii. Na kwa jinsi hiyo wameendelea kupata watalii wengi ambao wengine wanakuja kupanda mlima Kilimanjaro ila wanapitia Kenya. Watu wa nje wengi wanajua Mlima Kilimanjaro upo Kenya, na ninasikia wanataka kujenga uwanja wa ndege wa Kimataifa na mahoteli ya kitalii mpakani mwa Kenya na Tanzania katika eneo liitwalo Holili, ili wageni wote wanaokuja kwaajili ya kupanda mlima waweze kushukua hapo na kupata huduma zote. Hili linatokana na ufinyu na uchakavu wa miundo mbinu tuliyonayo pamoja na huduma duni katika mahoteli yetu ya kimataifa.
 
Wee unashangaa university of kilimanjaro iliyopo kenya???...

Mie nimeona cnn kuna capitol hill na white house huko kogelo kenya na wameweka bendera ya marekani..soon watatoka na pentagon hukohuko kogelo kenya...

Hwa jamaa sometimes huwa kama machizi vile...wana bull wanamuita obama anagombana na mwengine anaitwa mitt romney....

Na mwishowe hawa jamaa wanasherehekea ushindi wa democrats huko kenya kuliko wao wamarekani waliostahili kusherehekea...

wanamaajabu mpakka dunia tunawashangaa.
 
Hiyo haki miliki huenda walishalipia! Viongozi wetu wakala. The problem is that, smart people are not in the relevant offices, kuna vilaza wasiokuwa wabunifu. Hatujajua namna ya kutumia human resource tuliyonayo. Kuna watu ambao ni very creative lakini serikali yetu haiwezi kuwatumia achilia mbali kuona tu wapi pa kuwatumia.
 
ila pamoja na yote, hawa jamaa wapo agressive sana katika kutangaza utalii. Na kwa jinsi hiyo wameendelea kupata watalii wengi ambao wengine wanakuja kupanda mlima kilimanjaro ila wanapitia kenya. Watu wa nje wengi wanajua mlima kilimanjaro upo kenya, na ninasikia wanataka kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa na mahoteli ya kitalii mpakani mwa kenya na tanzania katika eneo liitwalo holili, ili wageni wote wanaokuja kwaajili ya kupanda mlima waweze kushukua hapo na kupata huduma zote. Hili linatokana na ufinyu na uchakavu wa miundo mbinu tuliyonayo pamoja na huduma duni katika mahoteli yetu ya kimataifa.

ila wanapinga sie kujenga barabara itakayopita serengeti kwa kiwango cha lami coz they know tutauwa utalii wao na hasa uhamaji wa wanyama....jino kwa jino...au kama vipi wasijenge uwanja huo wa ndege ili wetu wa kia uendelee kuishi.
 
Back
Top Bottom