University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

Lote hili ni eneo la UDOM halina miti huyo anaesema kuna miti anaongopa...UDOM miti michache tu ndo imepandwa jirani na majengo ya chuo ila sehemu kubwa bado ni barren haina uoto wa miti...TAFADHALI Nyie wasomi pandeni miti.

Utunzaji wa MAZINGIRA ni moja ya sifa inayodhihirisha HEKIMA na USOMI wa binadamu.
20211009_170651.jpg
 
Chuo Kikuu hiki mnalo eneo kubwa sana ambalo mkipanda miti itasaidia kuweka mazingira vizuri kama UDSM walivonogesha chuo chao na uoto. Pia uoto wa miti kukizunguka UDOM utakuwa mapafu ya jiji la Dodoma ukizingatia nyie mpo juu ya jiji.

Mazingira ni Uhai View attachment 1969389
Uko sahihi mkuu,kinachonishangaza Dodoma,kuna kipindi kirefu tu cha mvua,siju kwanini wananchi na serikali yake wasichukue jukumu pale msimu mvua zinapoanza tu kupandwe miti ili hata kiangazi kinapoanza miti tayari inakuwa imeshakomaa kuweza kuvumilia msimu wa jua...
 
Chuo Kikuu hiki mnalo eneo kubwa sana ambalo mkipanda miti itasaidia kuweka mazingira vizuri kama UDSM walivonogesha chuo chao na uoto. Pia uoto wa miti kukizunguka UDOM utakuwa mapafu ya jiji la Dodoma ukizingatia nyie mpo juu ya jiji.

Mazingira ni Uhai View attachment 1969389
Wasomi wetu wananishangazaga sana bongo kutokua na uwezo wa kujiongeza yani. Hapo hadi waje wazungu kusaidia wakati wao kila siku wanapita na wanaona,na mbaya zaidi wanasafiri nchi kibao na wanaona kinachofanyika
 
Yaani kuna kitu kinasikitisha huwa nikitazama uzuri wa UDSM au SHANTA Goldmine pale Chunya ndiyo nabaini tofauti iliyopo kati ya Blacks na Whites.

Pale Mgodi wa Dhahabu jamaa wanatunza miti vibaya sana na hapo UDSM whites walikuwa sababu ya huo msitu kudumu hadi hivi leo...

Sijui UDOM wanafeli wapi.......kwa sababu UDOM wakipiga miti Laki Moja pale juu jiji la DODOMA lote hali ya hewa ya Ukame Ukame itaondoka kabisa kwa kuzingatia kwamba UOTO WA MITI unavutia hali ya hewa nyepesi isiyoakisi Jangwa Jangwa kama ilivyo kwa DODOMA hivi sasa.
 
huyo mkuu wa chuo nae ni useless juzi kaenda kukopa crdb milioni 150 kujenga geti la chuo unazani ataweza kubuni project ya kupanda miti
 
Chuo Kikuu hiki mnalo eneo kubwa sana ambalo mkipanda miti itasaidia kuweka mazingira vizuri kama UDSM walivonogesha chuo chao na uoto. Pia uoto wa miti kukizunguka UDOM utakuwa mapafu ya jiji la Dodoma ukizingatia nyie mpo juu ya jiji.

Mazingira ni Uhai View attachment 1969389
Tatizo eneo kubwa mno wangeiga udsm ukipita pale unapata hewa ya tofauti kabisa na sometimes weather yao inakuaga tofauti na sehem nyingine sababu ya miti
 
Kabisa ukipita UDSM unahisi uko nchi fulani ya Scandinavian full kipupwe na hapaboi...UDOM wakope huu utunzaji mazingira kwa UD
 
Nimekuwa nikijiuliza hilo sana, chuo cha Udom kina miaka kadhaa sasa toka mwanzo hawakuzingatia swala la mazingira! Wangeotesha miti inayoendana na hali ya Dom toka chuo kinaanza kungekuwa kuna kijani cha kutosha tofauti na ilivyo jangwa sasa. Majengo mazuri lakini hapavutii.

Kwa ujumla Dodoma haijapata viongozi wazuri wa kuhamasisha wananchi kuotesha miti, lile jua na ukame ni wa kujitakia. Viongozi wetu hawajali mazingira ndio maana sishangai miji yetu ilivyo Michafu.
 
Hakika! Ukipanda miti hapo yaani patavutia sana...UDSM ni chuo kidogo kama waliweza na wameweza hawa UDOM wanaweza mara dufu.
 
Back
Top Bottom