Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
- Thread starter
-
- #81
Nitajitahidi sana kufanya hivyo maana kuna wachina wanaweza kufanya mambo kwa haraka sana ila uimara wa majengo ndio Tatizo kubwa sanaI agree with you.
Tutaomba aliyeleta picha hizi, baada ya miaka mitatu atuletee tena picha atakazopiga wakati huo.
pia kuna vuja sana!!!kunavutia sana sijui na wadogo zetu kitabu kinapanda ?
Mpango mzima wa Mkapa, JK amemalizia tu ujenzi.
Majengo ya chuo ni mazuri, vipi kuhusu ubora wa elimu unaotolewa chuoni hapo?
Vipi una maana gani? nilitaman nikuelewe FirstLady1 lolkunavutia sana sijui na wadogo zetu kitabu kinapanda ?
Hii Issue aliianza Mkapa JK anayemsifia yeye kazi yake ni kuzindua tu
Kwani ujenzi wake ulibuniwa na kuanza kutekelezwa chini ya awamu gani mpaka uanze kumsifia JK?Hiki ndicho kitu pekee ambacho nitamsifu JK hadi kufa kwangu.
Vipi una maana gani? nilitaman nikuelewe FirstLady1 lol
hakuna wakubisha udom noma
kivipi aisee, funguka hapo...ni Lowasa? alichangia kwa namna gani sisi wengine hatujui hilo....wengine wanasema hili lilikuwa wazo la mkapa, jk amekuja tu kutekeleza, wengine ndo nasikia mnasema pongezi ziende kwa Lowasa....how?the truth be told.. anayechukua sifa ya Udom ni Lowassa...
udom noma majengo tu, lakini miundombinu mibovu, uwa panavuja balaa, harufu toka ng'ong'ona mpaka social, maji uwa hakuna mpaka unawaonea huruma, hakuna walimu wa kutosha inabidi kukopa ud au muhimbili na vyuo vingine.... sasa unoma wake uko wapi bwana Autorun?
Kwetu Iringa yani ni kwamba udom hakuna cha kusifia, let us be honest. wanaoijua udom waseme, mimi niko dodoma miaka zaidi ya mitatu na udom ni mahali nilipo pazoea, labda mimi sioni vizuri, hebu bwana Autorun tupe details
za kuambiwa na dada yako changanya na zakwakoNa mimi niko Dom. Nina dada yangu anasomea unesi pale. Kwa hiyo nafuatilia sana mambo ya pale. Yaani dada analalamikia sana elimu ya pale. walimu wa kuokoteza okoteza tu. Anasema wengi hawajahi kufundisha popote, bali nikama wanajifunzia pale pale kufundisha
Hatari llkn salama
Kwetu Iringa yani ni kwamba udom hakuna cha kusifia, let us be honest. wanaoijua udom waseme, mimi niko dodoma miaka zaidi ya mitatu na udom ni mahali nilipo pazoea, labda mimi sioni vizuri, hebu bwana Autorun tupe details
ni kweli unachosema...na naamini vifaa vya kujifynzia wanavyo vingi wasiwasi wangu pia uvivu wa Watanzania kusoma.Namaanisha hivi
Kweli chuo kizuri
Swali langu likaja hawa madogo wanaosoma hapo akiwepo mdogo wangu sijui kitabu kinapanda ?
maana shule za siku hizi mmh kama si kupiga picha na kuweka FB
ni kweli unachosema...na naamini vifaa vya kujifynzia wanavyo vingi wasiwasi wangu pia uvivu wa Watanzania kusoma.