University of Dodoma, first year 2021/2022

Mm pia nipo informatics...tumeanza orientation..ila kusoma bado
 
Mwenye Udom Fee structure naomba share hapa au ni DM
 
Ahsante sana Mkuu, Nimeipata.
 
Nipo college of health scinces mkuu na mpaka sasa masomo bado ayajaanza watu wanakamilisha usajili ila pia orientation zinaendelea, kwa kuhusu masomo kuanzia itakua next monday tarehe 15
 
Nashukuru sana boss
 
Back
Top Bottom