Hatari sana nakumbuka enzi izo tunaenda computers room wadau hawawezi ata kushika mouse wanainyanyua juu hawaweki chini😂😂😂😂😂😂😂
Nakukumbuka ulikuwa na bodaboda yako ukitoka mabibo kwenda chuo unampa lifti yule mdada sijui ndo alikuwa shem
ni lift tuu, hkun kitu.Unamkumbuka yule prof aliyekwambia,we unadhani hapa tunaendesha kipindi cha kitimoto hapa,alafu akakudiscosisha sijui ulikula chakula yake
Hatari sana nakumbuka enzi izo tunaenda computers room wadau hawawezi ata kushika mouse wanainyanyua juu hawaweki chini😂😂😂😂😂😂😂
Nilipangiwa hall 5 floor ya 9 nilikaa kwa week moja badae nikauza chumba nikahamia Savei.
Maswala ya kupandisha ngazi na ndoo za maji nilishindwa.
Teh teh teh ,herufi za kutafuta
Mi siku ya kwanza kupewa assignment mwalimu alisema anataka iwe kwenye soft copy yaan nusu darasa wakadhani soft copy ni makaratasi laini,mi nilikuwa nikifukuzia mzigo naualika hillpark lazima utaingia kingi tu,najifanya ndio viwanja vyangu kumbe wapi
Hahahaha umenifanya nicheke kwa nguvu eti karatasi laini mlitisha sana wakuu
Hillpark ushuani palikua pazuri pa kukamatia watoto akitia maguu pale hachomoki 😊😊😊😊😊
Bila kusahau UDASA, sisi tulikuwa tunapaita YUDASA, ukipeleka mtoto wa kike pale lazima akuheshimu. Boom likikata unarudi zako manzese kula maandazi.
Mimi series nimezijulia Chuo, enzi hizo mnaenda kuangalia prison break chumbani kwa mshkj mwenye desktop. Computer zenyewe zilikuwa zimejaa tutorial tu a.k.a pilau (movie za ngono)
Watu tulikuwa tunachukulia boom dirishani karibu na ofisi za auxiliary police pembeni ya faculty of business siku hizi Ndio UDBS
Hivi siku hizi pepa za matriculation zipo? Ulikuwa huingii Chuo bila kufanya hizo pepa
Kuna mtu alikuwa anaitwa Pasiense Mlowe alikuwa anagombania uraisi wa DARUSO akichuana na Mganda anaitwa Odong Odwaa, huo mpambano asikwambie mtu ulikuwa kiboko. Utawala wanamtaka Pasiense wakati wanafunzi wanamtaka Odong. Pasiense alikuwa na Msemo wake mmoja "tofautisha Kati ya hamu na shauku"
Niachie hapo Ila UDSM is the best, pamoja na vioja vyote Ila nili enjoy maana Ndio kilikuwa Chuo cha ndoto zangu. Kusoma UD enzi hizo ni title mtaani.
Aah nothing much to share ila nakumbuka mgomo ule wa 2008/09 ulitufanya tufukuzwe cho kizima alafu tukafanyiwa usajili upya pale geti maji. Wapi Steven Owawa, Ocheng yule mganda na slogans zake za kumpinga Museven, Mwachibya rais wa chuo na wanaharakati wengine wa SOLIDARITY FOREVER.
By the way ndo nilikuwa first year Bcom that time ya mgomo.
I miss udsm -coet daah mungu mkubwa mwaka wa Pili nilikula nyavu za kutosha sintosahau
huhuhuhuh...mwaka wa pili kwa COET ni habari nyingine aisee
Mkuu pale kwenye kale kadirisha ka police bado wanatolea boom la kwanza kila mwaka.
Mambo ya pilau kama kawaida aisee unakuta mtu laptop ina folders za uvunguni jina la pilau movies kazipa title ya koz fulani mfano DS102...kumbe ni porn
Hahaha nimekumbuka mengi aisee. Pilau ikikuwa inaandikwa kama vile delete this folder lakini bado watu wanazipata.
Kuna mambo ya kupigwa EXILE -roommate anamleta demu na kumgonga mle room kwenu wakati huo mmefungiwa njee mnasubiria amalize.