University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Mdogo wangu kachaguliwa Petroleum Engineering Udsm. Naomba mwenye details za hii kozi anisaidie kama ina market au haina. Kama soko linasumbua nataka nimshauri abadilishe pindi chuo kitakapofunguliwa.
Bonge la koz iko poa knoma ila ajpange msul
 
Ndugu zangu, mim nimetumiwa ujumbe kwa SMS za kawaida ukisema,hongera umechaguliwa ktk chuo cha udom,kusoma kozi Fulani,nikaambiwa nithibitishe kwa kutuma jina langu kamili, vipi hyo ni kweli au ??? Nifanyeje msaada ndugu zangu
 
Poleni na majukumu wadau, kwa wale waliokuwa wakisubiri selections za UDOM mzigo huu hapo chini. Kila la kheri
 

Attachments

  • UDOM_Selected Applicants_Degree Programmes.pdf
    2.3 MB · Views: 289
Huna ndugu wa kukusaidia huko Dar? Unaweza kumtumia barua na hiyo nakala za vyeti ulivyo scan akaprint kwa color printer apeleke huko TCU.
Ndugu [HASHTAG]#suip[/HASHTAG] mbona unamfanyia hvyo mtanzania mwenzio?



Ww BUTAWATEMI hakuna kosa lililofanyika hapo. hiyo remark wanamaanisha kuw pamoja na kuwa uliomba chuo zaidi ya kimoja lakini umefanikiwa kupata udsm peke yake kwa hiyo ww hautakiwi kukonfirm chochote. suala lako limetumwa TCU ambao ndio watakaotangaza majina ya waliochaguliwa vyuo husika.

masuala ya barua sijui, na mambo gani hakuna hapo.
 
Kwa wale mlikuw mkisubiri majina ya selection chuo kuu dodoma yametoka.. Fanya kupitia hpa uangalie kama yamekaa saw au laah..hzo doc mbil kuna moja kwa wale wenye single selection na ya pili kwa wale weny multiple selection wanaoitajika ku confirm kama wataenda chuoni (UDOM)
 

Attachments

  • SELECTED-APPLICANTS-WITH-MULTIPLE-ADMISSIONS-UDOM.pdf
    4.5 MB · Views: 41
  • SELECTED-APPLICANTS-WITHOUT-MULTIPLE-ADMISSIONS-UDOM.pdf
    2.1 MB · Views: 43
Wale wenye chaguo zaidi ya UDOM
 

Attachments

  • SELECTEDAPPLICANTSWITHMULTIPLEADMISSIONSUDOM.pdf
    4.5 MB · Views: 57
Back
Top Bottom