University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Wenye III kuna waliopata Chuo Kikuu kweli,hasa SUA,UDSM,ARDHI maana naona Ndugu yangu kote kachezea nyundo na mimi ndiyo nilimfanyia Application wakati akiwa Jeshini kwa Mujibu.Ni majanga kwa kweli.Ushauri wenu tafadhali au awahi tuu diploma maana Degree imekwama

Kupata hivyo vyuo kwa Div 3 ni ngumu sana, unaweza kuapply IFM,UDOM,Mzumbe.
 
jamani msaada kwa mwenye list za selected candidates wa law kwa udsm na udom anisaidie nicheki maana account zangu sizielewi.
 
So sad na ki two changu jaman
 

Attachments

  • Screenshot_20171005-094523.png
    Screenshot_20171005-094523.png
    99.6 KB · Views: 49
Sasa wee dogo ndio kwanza unategemewa kuanza first year ila dharau kibao utadhani ni continuing student,au unadhani ukiingia hiyo first year yako utaheshimika mtaani kwenu kuwa wewe ni first year wa UDSM?
Sorry mkuu! Kama nimekukera, yale yalikuwa maoni yangu tu
 
humu watu wengine wako kwa nia ya kuvunja wenzao moyo........ as if wao wako sehemu salama,,, sio lazima uandike unajojiskia....... pia kila unachokiandika jaribu kukipima tambua kuwa kuna watu wengi ambao hawajachaguliwa mpaka saa hivi, wengine wamevunjika moyo hadi sasa, sio ishu za kuropoka kisa umechaguliwa na chuo flani flani, not fair kabisa
Sure
 
Sorry mkuu! Kama nimekukera, yale yalikuwa maoni yangu tu
Msomi hawezi toa maoni kama yale,ikizingatiwa zaidi kwamba wewe katika kundi la wasomi ndio unatarajia kuingia tena first year tu na bado hujaanza.Siku ukiwa mwaka wa tatu si utawadharau wote ambao hawajasoma na kufika chuo? Yani hapo hata mwaka wa kwanza hujaanza ila unawadharau wenzako wa vyuo vingine ambao ni wasomi wenzako,sasa huko mtaani unaishi vipi na watu ambao hawajasoma kabisa?
 
Asubiri second sel maana mwaka huu nafasi nyingi kwenye vyuo unakuta imechukuliwa na mtu mmoja kutokana na hizo multiple selections. Nadhan watu wakishaconfirm vyuo vyao nafasi zitakuwepo tu japo ushindan utakua mkubwa maana wengi wamekosa
Ok,poa nasikia kuna kuomba tena
 
Back
Top Bottom