University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Sasa mbona dogo amechaguliwa vyuo vi4 alafu kwenye ile list ya tcu aliandikwa multiple selection lakini kwenye vyuo vyoote ivyo list zao hayumo kabisa... Kama udom wameandika kabisa ni list ya wasiochaguliwa mara mbili... Vyuo vingine sielew elew.

Sema furesh ... Vipi number zao uthibitisho kuverify utaenda chuo gan huwa zinachukua muda kidog ama?
Unatokea, ila itaandikwa multiple admission.
 
Sasa mbona dogo amechaguliwa vyuo vi4 alafu kwenye ile list ya tcu aliandikwa multiple selection lakini kwenye vyuo vyoote ivyo list zao hayumo kabisa... Kama udom wameandika kabisa ni list ya wasiochaguliwa mara mbili... Vyuo vingine sielew elew.

Sema furesh ... Vipi number zao uthibitisho kuverify utaenda chuo gan huwa zinachukua muda kidog ama?
Ni kweli vyuo vingi majina wanayotoa ni wale wasio na multiple admission. Kuna mdau ni admission officer chuo fulani anadai hizo confirmation codes yaweza kuchukua several days ila ni kabla ya second round application kufungwa
 
Kama umechaguliwa NIT niulize chochote, pia Kama ntahitaji hostel mbali na zile za chuo, nicheki PM ntakusaidia hostel moja bomba Sana.....ili usiende kusumbuka na madalali pale town!!!!
Vp admission letter mbona hazpo kwa mtandao na sku ya kutinga chuooni haijaoneshwa
 
Back
Top Bottom