University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

soma vzur hayo maelezo
hujachaguliwa ,wewe si ndie ulietuletea majina ya waliokosa UDOM wewe ukidhani ni multiple
LABDA MAELEZO YANGU YAMEKINZANA NA DHAMIRA mkuu ni hivi kwenye majina ya selected candidate nipo na nimepiga simu chuo wamedai wameniona na pia sina multiple mimi nimeapply udom pekee round zote tatizo vile viaccount vya application ndo vumeandika sijachaguliwa na wamesema ni tatizo la ufundi as long as kwenye list nipo nikusanye mizigo niwait 28 october
 
ok.. good
 
Aseee pole lkn ungebadili vyuo ujinga wa degree wanatulazimisha kusoma course zisizio na tija maana kupata unachokitaka ni ngumu kama umesoma science nakushaur tafuta diploma ukatulie zako maana hata loan ss hivi ni mzk 11+10 tayar ni watu 21 wanabaki elf kumi BT what if round ya 3 mambo yasipoenda vzur......diploma ni solution za kufikia ndoto sa hz umebaki ualimu tu
 
kwakweli elimu imekua pasua kichwa nilipenda law sana ila nimejikuta nasoma psychology hapa udsm. transfer imebuma, najipa moyo ipo siku ndoto zitatimia.nipo radhi nisome degree mbili tofauti ili niweze kutimiza ndoto yangu yakuwa lawyer.amen
 
Daaaah Mdau achaaa hawa TCU pasua kichwa walinipangaaaa kitu kingine kabisa
Ambacho sikujiandaa nacho
Naona pamebumaaa story ndefu
Nipo njombe napasua mbao
Duuh! Natimiza Wajibu Kwani Nimepewa Mkopo Asilimia 98, Pia Nikikaa Kitaa Nako Ngumi Wacha Nijilie Boom La Bure. Mengine Yatajulikana Mbele.
 
Back
Top Bottom