University Admission Results 2020

Ety jamani, kuna watu wameomba vyuo zaidi ya vitatu na wana vigezo vya kuchaguliwa kabisa kila chuo kwa mujibu wa vigezo vya kozi.. Sasa hawa watu hawatajaza nafasi yaan MTU mmoja kuchaguliwa vyuo zaidi ya vitatu au TCU watalidhibiti vipi hili.. Naomba ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…