University Admission Results 2020

Jamani msaada Mimi niliconfirm KCMC ila nilikuwa nimechaguliwa vyuo vingi ikiwemo sua. Sasa mkopo nimeangalia unasoma SUA Sasa nifanyaje ili uhamie KCMC msaada plzzz
 
Samahani wadau,hivi kwa mtu ambae cheti chake kilichelewa kuwa certified na RITA na hakuweza kuendelea na corrections na dirisha likafungwa,Ina maana hawezi tena hata kuappeal au inakuwaje.Kwa mwenye kujua naomba anieleweshe.
 
Ku appeal utaweza hilo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…