vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 869
Kaka acha masihara ukikosa ndo wanakwambia ivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wanajifanya wastaarabu [emoji23]View attachment 1624549
Sure.That's their language [emoji23][emoji23] ngoja tusubiri hiyo batch ya pili tuKaka acha masihara ukikosa ndo wanakwambia ivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Na ww mkuu wamekuandikia ivyo dah life is not fair kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sure.That's their language [emoji23][emoji23] ngoja tusubiri hiyo batch ya pili tu
AFIKE CHUO MKOPO UTAHAMISHWAWakuu tatizo hili hapa..
Jamaa alapata 2nd round B.V.M(verternary medicine )- SUA
Akaomba tena akapata 3rd round M.D( Doctor of medicine) -UDSM MCHAS na kafanya confirmation tayari kwennda MD
SASA MKOPO UKO 100% LAKINI UMEWEKWA KWA BVM- SUA.. solution ni nini kwa anayeelewa?
Kuna jamaa yangu tumemaliza wote, tena yeye na O level pia kasoma private plus haendi kozi ya afya... Lakini wamempa! Sijui wanaangalia nini yaniNa ww mkuu wamekuandikia ivyo dah life is not fair kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]yaani mi najisemea wakimaliza kufanya analysis yao wananipa kumbe dah MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA BATCH YA PILI maana ndoto za kwenda chuo zinakatakataKuna jamaa yangu tumemaliza wote, tena yeye na O level pia kasoma private plus haendi kozi ya afya... Lakini wamempa! Sijui wanaangalia nini yani
Ameen[emoji120][emoji120][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]yaani mi najisemea wakimaliza kufanya analysis yao wananipa kumbe dah MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA BATCH YA PILI maana ndoto za kwenda chuo zinakatakata
Duuh hatare.. pole xana.mimi wamenitema round zote 3, nilisoma clinical medicine nikaomba MD na Course zinginezo ila wapi
mimi wamenitema round zote 3, nilisoma clinical medicine nikaomba MD na Course zinginezo ila wapi
asante sana mkuuDuuh hatare.. pole xana.
Wapo, jamaa fulani BAED kapataKuna aliepata chuo UDSM na amepata mkopo tayari ?
Wapo, jamaa fulani BAED kapata
Nipo.Kuna aliepata chuo UDSM na amepata mkopo tayari ?
Nipo.
inaingia kweny account ya mwanafunzi utawekewa kipind unacho enda fieldWakuu hivi Hiyo hela ya field huwa inaingizwa kwenye chuo husika ama inakuaje kuaje na niwakat gan huwa inaingizwa
Shkran mkuu nimekupatainaingia kweny account ya mwanafunzi utawekewa kipind unacho enda field