nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Kila siku tunajifunza, Kwani baada ya chuo husika kurudisha jina TCU wanatoa majina mengine tena? Au sijaelewa?Nimeshndwa kuelewa kama chuo kilimchagua na akaona notifications kwa profile taarfa zake ziko uploaded tcu, badaye majina yametoka kutoka tcu halipo,labda tcu wamemtema assumptions ziko nyng
Thanks kiongozi
Ingia katika website yao wametoa majina utayaonaMwenye link ya kuona orodha ya waliochaguliwa kujiunga na KCMc round zote.
Ingia katika website yao wametoa majina utayaona
Nadhani, taarifa zinapelekwa vyuoni kwasababu vyuo hupeleka taarifa za wanafunzi TCU baada ya kuwa wamefanya registration.Sana huwa ni TCU, kwani ndio inahusika na usajiri wa wanafunzi waliopata vyuo.
Vyuo hudahili Wanafunzi na kutuma majina TCU, ndio maana wenye multiple selection hupewa code toka TCU. Baada ya kuthibitisha/ku confirm udahili kwa Wanafunzi, majina hutumwa HESLB toka TCU kwa allocation ya mkopo. Ukisoma details zaidi HESLB wanasema hata taasisi zingine zinazohusika na usajiri wa Wanafunzi huweza tuma majina HESLB.Nadhani, taarifa zinapelekwa vyuoni kwasababu vyuo hupeleka taarifa za wanafunzi TCU baada ya kuwa wamefanya registration.
Hivi hawa HELSB lini wanatoa orodha ya wanufaikaVyuo hudahili Wanafunzi na kutuma majina TCU, ndio maana wenye multiple selection hupewa code toka TCU. Baada ya kuthibitisha/ku confirm udahili kwa Wanafunzi, majina hutumwa HESLB toka TCU kwa allocation ya mkopo. Ukisoma details zaidi HESLB wanasema hata taasisi zingine zinazohusika na usajiri wa Wanafunzi huweza tuma majina HESLB.
Nimesikia kesho, juzi kati niliwasiliana na UDSM nao walisema kesho. Kumbuka hizi ni taasisi zinazo ingiliana katika utendajiHivi hawa HELSB lini wanatoa orodha ya wanufaika
Nimesikia kesho, juzi kati niliwasiliana na UDSM nao walisema kesho. Kumbuka hizi ni taasisi zinazo ingiliana katika utendaji
Ulipewa msaadaSawa mkuu
Nani kashapata mkopo wadau..HESLB kesho mzigo unatema...hongera kwa wale wote mliochaguliwa.View attachment 1623757
Hakuna..Habari! Hivi kuna vyuo ambavyo bado havijatoa 3rd selection?
MzumbeHabari! Hivi kuna vyuo ambavyo bado havijatoa 3rd selection?
Official majina ya mkop yametangazwa mweny pdf aweke hapaMzumbe
Official majina ya mkop yametangazwa mweny pdf aweke hapa