University Admission Results 2020

weka na private na vyuo visivyokuwa na majina unaweza kubahatishaaa

kuna mshikaji wangu alikosa MD akarudi kupiga CO mwaka wa kwanza alivo maliza mwaka wa pili viwango vya kupokea MD vmeshushwa kidgo anaenda kuanza MD kairuki pale kaachana na CO
 
Jamani wameghairi matokeo ya second selection mpaka tarehe 29
 
MATOKEO OFFICIAL YA SECOND ROUND YANATOKA TAREHE 29/10/2020 BY TCU
 
Hivi inakuaje kwa vyuo ambavyo vilikuwa vimeanza kutoa selection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…