University Admission Results 2020

Mbivu na mbichi zishajulikana hapa kutachangamka tena second round
Dah aisee....mimi niliomba DIT diploma lakini sielewi...sijui majibu yashatoka ..au bado...nikiangalia nakuta amna kitu chochote
 
Jamani Mimi nimechaguliwa vyuo vinne, sua ,kcmc ,bugando, na Kampala na code number nimepewa Ila nikiingiza pale inagoma na niliomba pale ingine naambiwa Mimi Sina multiple selection. Msaada tafahali nachanganyikiwa
 
Daaah nmeshndwa Ku log in ...kweny account ya mzumbe kila nikiweka username na password vnagoma ......kwa anaejua anisaidie
 
wakuu kuna walio tokea diploma wachaguliwa??? coz naona 95% wamepigwa chin tatizo n nin?
 
wakuu kuna walio tokea diploma wachaguliwa??? coz naona 95% wamepigwa chin tatizo n nin?
Diploma wengi waliomaliza this year hawakuomba dirisha LA kwanza kwa sababu ya matokeo.. Wanasubiria drsha LA pili
 
Diploma wengi waliomaliza this year hawakuomba dirisha LA kwanza kwa sababu ya matokeo.. Wanasubiria drsha LA pili
Kuna walioomba dirisha la kwanza na hawajapata hivi selection Zina upendeleo Sana, Ina maana diploma hawana haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…