University Admission Results 2020

Wakuu Udom mbona kwenye account sioni any updates

Ndio nimechinjwa nn[emoji23][emoji23]
 
St. Fransis na KCMC bonge moja la kichaka hadi wenye division 2 wamepata MEDICINE na ada yao japo ni kubwa ila himilivu hasa hasa KCMC ada ni himilivu. Muhimbili na UDOM wanalinga sana
 
Ila huu mfumo wa kuomba kwenye vyuo moja kwa moja nadhan changamoto zake ni kubwa kuliko kuomba kupitia dirisha la TCU
 
Ila huu mfumo wa kuomba kwenye vyuo moja kwa moja nadhan changamoto zake ni kubwa kuliko kuomba kupitia dirisha la TCU
 
Hv ulichaguliwa chuo kimoja(single admission)nawewe unatakiwa ucomfirm au kufanya kitu chochote kuonyesha utajiunga na chuo husika?? Na he naweza kuomba vyuo vingine duru la 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…