Stimavoltage
Member
- Oct 18, 2018
- 16
- 8
Wakuu habari,
Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo. Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka tar 9 vyuo vyote vitakua tayari.
View attachment 1587212View attachment 1587213
Samahani mkuu, kuna mdogo wangu aliaplai hapo muhimbili na yeye ila saa hizi akijaribu kuingia kwenye acc yake inagoma kwamba amekosea username, wakati username yake ndo iyoiyo (ni email yake ndo alitumia kama username) sasa sijaua kama ni kweli username za muhimbili ni email au kuna format nyingine tofauti dogo atakua amesahau? Msaada tafadhali hapo kwenye username.Muhimbili pia TayarView attachment 1593554
user ni ile namb yake ya usajili wa secondarySamahani mkuu, kuna mdogo wangu aliaplai hapo muhimbili na yeye ila saa hizi akijaribu kuingia kwenye acc yake inagoma kwamba amekosea username, wakati username yake ndo iyoiyo (ni email yake ndo alitumia kama username) sasa sijaua kama ni kweli username za muhimbili ni email au kuna format nyingine tofauti dogo atakua amesahau? Msaada tafadhali hapo kwenye username.
Mfano S2342/7687/2017user ni ile namb yake ya usajili wa secondary
yeah, ndivyo ilivyo ChiefMfano S2342/7687/2017
Au ni S2342/7687
Kwamba mwaka aliomaliza tunaweka na wenyew au?
Asante mkuuyeah, ndivyo ilivyo Chief
Wakuu naombeni kuuliza second round watatoa nafasi zilizobaki au vp ani selection ya cozSUA Napo tayari, ndo km hivyo
Na upande wa sua vp kwa aliyekosa wanaandika vpKama Kuna mtu aliomba udsm atume screenshot ya kwnye my application pale, maana Kuna mtu kanambia ukikuta kwnye my application unaambiwa ureapply ujue ndo umekosa hata km selection bado, sasa sijui Ni kwel
Sua tayar wakuuMuda bado Mkuu,
Huwa wanatoa nafasi kwa kozi ambazo zinaupungufu wa idadi ya wanafunzi.Wakuu naombeni kuuliza second round watatoa nafasi zilizobaki au vp ani selection ya coz
Shukrani kiongozi hhhaHuwa wanatoa nafasi kwa kozi ambazo zinaupungufu wa idadi ya wanafunzi.
Mwenyewe nilikuwa nahitaji nijue.. Yaan chuo husika kiorodheshe kozi zote zilizobaki na nafasi zinazohitajika itakuwa rahisi sana ku-arrange kozi wakati wa kuombaWakuu naombeni kuuliza second round watatoa nafasi zilizobaki au vp ani selection ya coz
vp umeangalia katik acc yako auSua tayar wakuu
Umepata code mkuu? Wananiambia invalid request!Muhimbili pia TayarView attachment 1593554
Muda wa ku confirm bado Mkuu, subilini TCU itoe majina rasimi ya waliodahiliwa vyuo vikuu. Sasa hapo ndio TCU itatoa siku chache kwa ajiri ya kuruhusu wale waliochaguliwa vyuo zaidi ya kimoja kuconfirm.Umepata code mkuu? Wananiambia invalid request!
Baadhi ya watu Dashboard zao hazijabadilika status haipo hii ina maana gani ?hata picha huon chief?View attachment 1593472
Baadhi ya watu Dashboard zao hazijabadilika status haipo hii ina maana gani ?
Sorry na Kama umechangua chuo kimoja na ndo ulicho omba Kuna aja ya kucofirmMuda wa ku confirm bado Mkuu, subilini TCU itoe majina rasimi ya waliodahiliwa vyuo vikuu. Sasa hapo ndio TCU itatoa siku chache kwa ajiri ya kuruhusu wale waliochaguliwa vyuo zaidi ya kimoja kuconfirm.
Kumbuka kuwa: Vyuo vyote vipo chini ya TCU, hivyo TCU ndio itatoa utaratibu Jumatatu.
Zaidi tena, hadi sasa zaidi ya 98% ya Universities wamemaliza selection tayari. Kwasasa wanawasilisha majina TCU for further process.