chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
hata mi ndo nashangaa. Nkurunzinza je? mbona wamemwacha yuko madarakani na wananchi walimkataa? Museven kang'ang'ania madaraka miaka 30 sasa haaasemi kitu? akina besgye kila siku wanakamatwa kwenye kampeni wanawekwa ndani na serikali ya museven bila makosa uonevu mtupu mbona wasiseme kitu?
Mheshimiwa wao ni wafadhili wetu wa karibia kila kitu. Sehemu kubwa ya pesa za uchaguzi wanatoa wao. Haiwezekani wewe unampa mtu pesa yako kwa shughuli fulani halafu akazifuja halafu unyamaze. Vile vile kumbuka kama kukitoa vurugu zozote zitaawaathiri na wao kwani watalazimika kuanza kuhudumia wakimbizi na vikao vya upatanishi. Kuhusu sisi kutotoa statement juu ya chaguzi zao ni kuwa sisi ni wategemezi hatuna uwezo wa kwenda kusimamia chaguzi zao na pia hatuna kauli yoyote juu ya mambo yao kutokana na sisi kuwategema wao kiuchumi. Kumbuka bajeti ya Tanzania bila misaada ya wao haiwezi kusimama. Lakini wao bajeti yao inasimama hata bila kutegemea Tanzania. Umasikini ni utumwa mkuu! Ukishakuwa masikini ujue huna pia maamuzi juu ya maisha yako. Ukitaka kuyajua haya hegu angalia bajeti za Zanzibar na ya Muungano uone mchanganuo wa mapato na vyanzo vyake yake. Ndio maana Malawi au Msumbiji haziwezi kutoa statement kuhusu uchaguzi wa Tanzania kwakuwa hizo nazo ni kama sisiHivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.
We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections. We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.
The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.
Source: https://www.gov.uk/government/world-location-news/uk-statement-on-zanzibar-elections
...uchafu wa ccm sasa uko wazi mbele ya dunia..!!
Sasa kimenuka! Hawa ndio mabwana zetu, washasema hawajaona kasoro yoyote na wanataka matokeo yatangazwe kama zilivyopigwa kura. January wajibu hawa