Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Kuna hiki chuo cha private ambacho kinatoa courses za NACTE Level 4-6 za Information and Communication Technology.
Ningependa kujua kwa wale wanao kifahamu au wanaowafahamu waliohitimu hapo kama wana shauri mtu aombe hapo ukichukulia ada zao ziko juu (ukilinganisha na vyuo vingine).
Kwa ufupi nataka kujua kama ada ile inaendana na wanachokitoa kwa wanafunzi wao. Nijikite zaidi kwenye certificate na diploma courses (Nimesoma website yao ninachotaka ni maoni ya wadau).